Umtiti atua Barcelona

0ae211cc8d79d95f9e501129a12bb370.jpg


Hapo jamaa anapotezea kwa kula ndizi aliyotupiwa

88e70243e2b7a3450fab603efceb67a9.jpg


Baada ya tukio hilo Aguero na mpenziwe wakatwit picha hiyo kupinga Dan Alves kufananishwa na nyani

Mkuu hiyo niliiyona hata huko brazil kwao ubaguzi upo, kila mahala imetanda hata hapa kwetu ubaguzi tunao saana! Tunabaguana sisi kwa sisi na pia tunawabagua weupe.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mimi ,Wewe na huyo etoo wako na Neimar je tumefanana? Jibu usikimbie
Duuuh
Mimi na wewe tuu hatuwezi kufanana, ila wote ni weusi

Kuna kitu kina itwa light skin na dark skin ila kaitka Black race

Mfano angalia kama Kikwete na Magufuli wana fanana!!?
Au Obama na Kibaki wako sawa ki mwonekano!!?
Ila hilo halija wahi kuwafanya obama na kikwete wasiitwe weusi

Tumia sense ya kawaida tuu hilo swali mbona rahis sana, au jama utakuwa una waham angalia

Malcom X na Martin Ruther King jr
Wote ni weusi na walipigania haki za weusi, ila wewe ungesema Malcom si mweusi maana hata nywele zake zlikuwa tofaut kdogo na Martin
 
Lilian Thuram mbona kacheza pale
Frank rijkard alikuwa kocha wa barca,na ndie hiki kizazi cha kina messi na iniesta kilianza kuonekana akiwepo yy,kuna kina michael reizgar wamekipiga barca na wengine wengi tu
 
Unafkir ni kwanini brazil wanabaguana?
unafkil ni kwanini neyma akiwa na mpira huwa anapigiwa kelele za nyani?

unakumbuka dany kesharushiwa ndizi zaid ya mara mbiri?

Kama sio wa africa ni akina nani?

kama inshu ni nywele ushawai kuziona nywere za clich wa man cty?

nywere za didie drogba je?
Dani Alves kurushiwa ndizi kunahusiana vipi na kusajiliwa kwake Barcelona, alirushiwa ndizi walipocheza dhidi ya Villareal ugenini, na aliyerusha ni shabiki wa Villareal. Barca hapo ameingiaje?
 
Najiuliza kile kilichowaondoa Yaya na Etoo kama kimekwisha .
Ukifuatilia vizuri utaona sio eto'o wala Yaya tu ila ni wengi waliondoka kwa kile kilichoitwa Ukatalunya chini ya Pep Guardiona, huyo Eto'o na Yaya walikaa mda mrefu tu pale Barca kabla ya Pep.

Hata leo Pep angekuepo, usingewaona akina Neymar, Suarez, Rakitic, Bravo, Aleix Vidal n.k wakicheza na kuanza kikosi cha kwanza pale Barca.

Jamaa alikuwa na ubaguzi wa kijinga ambao mpaka sasa umeonesha ni namna gani uliigharimu timu.
 
Ukifuatilia vizuri utaona sio eto'o wala Yaya tu ila ni wengi waliondoka kwa kile kilichoitwa Ukatalunya chini ya Pep Guardiona, huyo Eto'o na Yaya walikaa mda mrefu tu pale Barca kabla ya Pep.

Hata leo Pep angekuepo, usingewaona akina Neymar, Suarez, Rakitic, Bravo, Aleix Vidal n.k wakicheza na kuanza kikosi cha kwanza pale Barca.

Jamaa alikuwa na ubaguzi wa kijinga ambao mpaka sasa umeonesha ni namna gani uliigharimu timu.
Kwangu mimi nadhani sio ubaguzi ila aliwapa nafas wakatalunyia zaidi,alijali vya kwao kwanza...ndo maana aliwauza wachezaj wengi wa kigeni ili kuwapa nafas watoto wa catalonia kama bosquet, bojan na wengneo ....
 
Najiuliza kile kilichowaondoa Yaya na Etoo kama kimekwisha .
Mpira biashara mkuu. Kwq taarifa yako vilab vya aina ya Barcelona, real Madrid na bayern Munich huwa hawauzi wachezaji wao, wakikuuza ujue haupo kwenye mpango wao. Kuuzwa kwa Yaya Toure, Deco ilikuwa ni kuwapa nafasi Andrea Iniesta na Sergi Busquet. Mnamkumbuka Erick Abidal? Jamaa alikuwa na namba ya kudumu piga ua labda awe suspended au majeruhi.

Kubaguliwa hakushushi kiwango cha uchezaji, wachezaji wa aina ya Alexis Sanchez, Ibrahimovich hawa wote pale Barcelona walikuwa flop ndo sababu ilipelekea kuuzwa. Etto yeye ilikuwa ni kubadilishana wachezaji. Barca walipewa zlatan na inter wao wakawapa etto na pesa kidogo.
Tatizo letu tunapenda kunungunika kwa vitu ambavyo havina maana.
 
Mhhh Barcelona na maniga wapi na wapi...Etoo na YayaToure walitupiwa ndizi uwanjani...anaenda kuua kipaji chake
Mbona weusi wengi wamecheza barca....
Abidal mpaka anafanyiwa upasuaji wa ini hawakumtupa na anakaribishwa kila leo pale.
Etoo aliondolewa barca hana nidhamu
Toure aliondolewa alikua hafiti kwenye mfumo wa kocha.
Kama kutupiwa ndizi ni mambo ya kawaida tu hayo kwenye soka la nchi kama hizo ambao zina ubaguzi wa hali ya juu lakini wanathamini kipaji chako no matter what.
 
Ni jambo zuri kwake kupata usajili katika hii timu. Ila Waafrika wana bahati mbaya katika maisha yao na hii timu angewauliza watangulizi kama Eto'o na Yaya Toure iliaweze kuishi vizuri na hiyo klabu.
Sio mwafrika huyo ...ni mfaransa
 
Back
Top Bottom