Umtiti atua Barcelona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,782
239,459
Mabingwa wa hispania Barcelona , wamefanya usajili wa kushangaza wa mchezaji wa Timu ya taifa ya France na club ya Lyon Umtiti .

Taarifa za Goal.com zinadokeza kwamba mchezaji huyo mwenye miaka 22 amesaini mkataba wa miaka mitano kwa ada ya Euro mil. 25.
 
Kwanini unasema ni usajili wa kushangaza
 
Hongera Baserona kwa kupata jembe la uhakika soon nitaanza kuishabikia!!!! the big team
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wewe haya mambo ya ubaguzi yashapitwa na wakati, au wewe ndiye mbaguzi? Sema tujuwe
Wapi yamepitwa na wakati? Hispania? Muulize danny alves.
muulize Neyma
muulize mchezaji yeyote yule mwenye asiri ya uarabuni.

Hao niliokutajia hapo juu wao wanaamini sio waafrica ila kinachowakuta huko sikupi jibu.
 
Huyo dani alves na neimar nani kakudanganya ni waafrika?
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom