Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,932
Kwa mujibu wa sheria mtu mwenye umri kama huo hawezi kuuza kitu chochote na huezi kuingia nae mkataba wowote.
Ya kweli haya? Na kuchaguliwa kuwa mwakilishi sheria inaruhusu?
Kwa mujibu wa sheria mtu mwenye umri kama huo hawezi kuuza kitu chochote na huezi kuingia nae mkataba wowote.
acha upotoshaji kijana
Bado ni shupavu na ana akili timamu tunamtegemea sana huyu mzee kwa busara na uwezo wake.
acha upotoshaji kijana
Bado ni shupavu na ana akili timamu tunamtegemea sana huyu mzee kwa busara na uwezo wake.
Kachoka kuliko Mgabe, yeye anacheza na 90+
Anawakilisha nani sasa?
Kwahiyo chadema ni waganga wa kienyejiAnawakilisha Waganga wa Kienyeji
Plz plzhivi vizee vinafki havina faida yoyote dunia ya leo.