Umri wa Mtoto Tangu Kuzaliwa

Umri wa Mtoto Tangu Kuzaliwa

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
431
Reaction score
61
Great Thinkers,nina hoja naomba kuileta mbele yenu nipate ufafanuzi, Mtoto akizaliwa,umri wa ndo unaaza kuhesabiwa toka siku hiyo aliyozaliwa na kuendelea,je kwa nini hiyo miezi tisa au nane aliyoishi tumboni mwa mama yake hazihesabiwi?si alikuwa anakuwa sawa na alivyoendelea kukua baada ya kuzaliwa?nawasilisha
 
Mkuu
Nadhani ile miezi tisa ya tumboni haihesabiwi kwa kuwa kunaweza tokea mambo kadhaa:-

1.Anaweza zaliwa mfu
Akizaliwa katika hali hiyo ni kusema maisha yanekima .

2. Anahesabiwa baada yakuzaliwa kwakuwa maisha ya kutegemea yanakoma
halafu maisha yake yanaendelea akiwa nje ya tumbo la Mama.
 
Ile ni tarehe yakuzaliwa mtoto sio tarehe ya baba na mama waliokutana
 
Chezea cha Arusha wewe, kama kichwa ndogo usivute utawehuka bure!!
 
Hatuhesabu umri kabl ya kuzaliwa maana kiumbe kikiwa tumboni ni kama yai la kuku linavyokua so tutahesabu siku ya kutotoa tu
 
Mkuu
Nadhani ile miezi tisa ya tumboni haihesabiwi kwa kuwa kunaweza tokea mambo kadhaa:-

1.Anaweza zaliwa mfu
Akizaliwa katika hali hiyo ni kusema maisha yanekima .

2. Anahesabiwa baada yakuzaliwa kwakuwa maisha ya kutegemea yanakoma
halafu maisha yake yanaendelea akiwa nje ya tumbo la Mama.

mkuu lakin kwani akizaliwa amekufa kwani kufa huko kunaweza kufuta huo muda ambao tayari alishaishi tumboni?akifariki tunapaswa kusema amefariki akiwa na umri wa miezi kadhaa kama ambavyo aliyezaliwa huwa tunasema amefariki akiwa na miezi au miaka kadhaaa
 
wengine wanataja siku ya kuzaliwa,ishu hapa ni umri kwa maana ya age,kwa nini hiyo miezi tisa aliyokuwa tumboni hawahesabu?kwani si alikuwa anakuwa kwa hesabu hiyohiyo sawa na baada ya kuzaliwz?
 
umri wa tumboni uambatane na umri wa shahawa kabla ya kutengeneza kitu tumboni basi,
nawaza tu hoja ya mleta mada
 
Hebu jaribu kushirikisha ubongo kidogo manake dah!! We ushasema umri tangu kuzaliwa halafu unataka kuhesabu toka tumboni??!!!

we ndo unajichanganya labda,swali ndo lipo hapo kuwa,kwa nini umri wa mtoto unahesabiwa toka alipozaliwa bila consideration ya hiyo miezi tisa ya awali?
 
umri wa tumboni uambatane na umri wa shahawa kabla ya kutengeneza kitu tumboni basi,
nawaza tu hoja ya mleta mada

hiyo ni hesabu inayoingia kwenye mwezi wa kwanza wa umri wa mtoto kama tukihesabu kwa ku consider ile miezi tisa ya tumboni
 
umri wa tumboni uambatane na umri wa shahawa kabla ya kutengeneza kitu tumboni basi,
nawaza tu hoja ya mleta mada

Kweli na huo umri wa shahawa uambatane na umri wa karanga mbichi/mihogo mibichi na michuzi ya pweza aliomla.
 
Back
Top Bottom