chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,221
Great Thinkers,nina hoja naomba kuileta mbele yenu nipate ufafanuzi, Mtoto akizaliwa,umri wa ndo unaaza kuhesabiwa toka siku hiyo aliyozaliwa na kuendelea,je kwa nini hiyo miezi tisa au nane aliyoishi tumboni mwa mama yake hazihesabiwi?si alikuwa anakuwa sawa na alivyoendelea kukua baada ya kuzaliwa?nawasilisha
anakuwa sawa na alivyoendelea kukua baada ya kuzaliwa..!
inamaana hapo hujaona tofauti?! something wrong with you!