kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,247
- 16,169
Sheria inaweza kumlazimisha mwanamke kusoma lakini siyo kuzaa. Kuolewa ni jambo moja na kuzaa ni jambo lingine la Kimungu.
Damu ya hedhi ndicho kipimo na taarifa ya Kimungu kuwa msichana amekua na yuko tayari kuzaa kwa kuolewa au kwa kutokuolewa.
Hata mama na bibi zetu walizaa kwa njia hizo za kuangalia umri wa kutoka damu ya hedhi. Hii ni kwa wanyama wote, na baada ya muda huu wa kubalehe viumbe wote wako tayari kuzaa kwa kalenda ya Mungu.
Tunakoelekea sio kuzuri ni heri serikalini kutumia rasilimali katika kusomesha na kuelimisha wanawake kuhusu madhara ya kuzaa kwenye umri mdogo badala ya kutumia rasilimali hizo katika kuzuia watu wasiolewe chini ya miaka 18. Ukisema kila msichana lazima asome hadi form 4 automatically utakuwa umesolve umri wa kuolewa indirectly badala ya kufukuzana na wasichana wasiosoma wasiolewe hadi wafikie miaka 18.
Watawala na wasomi wetu tusaidieni kutatua matatizo ya msingi yanayotukabiri kama vile njaa, huduma za afya, huduma za elimu, maji ya kunywa, nyumba Bora nk. Shida yetu sio wanawake kuolewa mapema.