Ukomavu wa akili kwa wahusika unahitajika kwenye suala la ndoamie I believe maturity comes with age,if your partner change,it depends how old are you to accommodate that, in this case walioana wakiwa watu wazima wanaweza sana kuvumilia…….wanandoa vijana wanaona muda wanao...so kuvunjika ndoa is easily.....if you say age is nondeterminant,you might be right.we don't know statistics labda kuna ukweli...nikipata muda nitalitafuta,thanks.
FactKikristo hakuna kuchokana mpaka kifo... Fanya upuuzi wote sio kukosea kuolewa au kuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tafasiri nyepesi nikwamba, shangazi wako alianza kubakwa akiwa na umri wa mwaka 13...[emoji30][emoji30]Shangazi yangu aliolewa akiwa na miaka 13 mume miaka 18, walikuja kutenganishwa na kifo baada ya miaka 40 ya ndoa yao!
Nothing in its intrisic nature has no challenges
Uwahi au uchelewe any option carries is own risks and challenges
We were not born to live challenge free life ,rather we live to overcome life challenges
Then stop finding the right time but always be ready to battle the odds of life.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauliza tu, wewe tayari umeolewa???Hello JF,
umri gani mliolewa/mlioa...
mna miaka mingapi ya ndoa?
are you happy and in control of everything that goes in your marriage...??
Nauliza yote haya sababu wanasema ukiolewa/ukioa katika umri mdogo kuna chances ndoa ika decline after 5 years...
Lol mnachokana mapema,
the more you get older ndio unakua wiser na ndoa kudumu...nimesikia tu mtaani nikaona nililete kwenu wapendwa
Karne hii hii ya 21 au kabla ya second world war?Shangazi yangu aliolewa akiwa na miaka 13 mume miaka 18, walikuja kutenganishwa na kifo baada ya miaka 40 ya ndoa yao!
Ilikuwa karne ya 20, baada ya vita ya pili ya duniaKarne hii hii ya 21 au kabla ya second world war?