Get married for the right reasons and because you are ready.
Don't get married kwa sababu umri umefika au you have no other choice. Never settle.
Most people are lonely as f.uck in their marriage, ni basi tu they keep a happy face and pretend everything is okay.
Si umejibiwa vizuri tuu mkuu... Unataka nini zaidi?umeenda deep mkuu,mie nilikua nauliza je umri unadetermine urefu wanandoa wataishi ndoani.??.
Hapana.umeenda deep mkuu,mie nilikua nauliza je umri unadetermine urefu wanandoa wataishi ndoani.??.
unataka kusema nini hapa 😀😀Shangazi yangu aliolewa akiwa na miaka 13 mume miaka 18, walikuja kutenganishwa na kifo baada ya miaka 40 ya ndoa yao!
Hapana.
All you'll get ni anecdotal evidence, that both support and defy such statement.
My opinion. Watu wanadhani umri unadetermine urefu kwasababu, people change and they change the most when they are in their youth 20s to early 30s. So they think kwamba mtu akiolewa/akioa mapema halafu akachange hapo katikati basi lazima ndoa ipate tatizo, since partner wake anakuwa mtu aliemuoa/alieolewa nae na mtu anayeishi nae sasa ni two different people. Lakini that's not always the case. So age ni a non determinant.
Ke kuanzia 17~25 itapendeza zaidiMe kuanzia 25-30
Ke kuanzia 18-25.
Hapo ni bila kujali vigezo vingine kama elimu,kipato nk nk
Namaanisha kuwa age is just a number, kikubwa ni uvumilivuunataka kusema nini hapa 😀😀
Hii sio kweli kabisa. Katika vitu bora hapa maishani ni kuoa mapema na kwa mtoto wa kike ni kuolewa katika umri mdogo.Hello JF,
umri gani mliolewa/mlioa...
mna miaka mingapi ya ndoa?
are you happy and in control of everything that goes in your marriage...??
Nauliza yote haya sababu wanasema ukiolewa/ukioa katika umri mdogo kuna chances ndoa ika decline after 5 years...
Lol mnachokana mapema,
the more you get older ndio unakua wiser na ndoa kudumu...nimesikia tu mtaani nikaona nililete kwenu wapendwa