Kwa nini mimi.niwe mgonjwa kama ulimwengu.ymeumbwa na mungu mwenye ypendo wote na ujuzi wote?
Ina.maana alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna ugonjwa?
Au aliweza akatubania tu?
Dhambi ni kuvunja sheria
hujajibu swali
dhambi ni nini ?
mambo ya upendo nitakujibu baada ya swali hili kujibiwa.
Hujajibu maswali kadhaa hapo juu.
Unaamini katika mungu anayeadhibu watu kwa kufanya asivyopenda?
Ukinijibu hili nitakujibu dhambi.
Habari ya mungu wenu huyu muweza yote na mwenye maoenzi yote ni uongo mtupu.
Kwa.sababu ulimwengu wetu unamsuta na kuonyesha hawezekani kuwapo.
Ndiyo mkuu, maana Biblia ingependa watu wafanyiwe maombi tu ili wapone, maana Mungu ndiyo muweza wa yote na kifo hupanga yeye.Aisee kumbe ibilisi ndiye anayesaidia kutengeneza chanjo za magonjwa, madawa na hata kufanyia watu operesheni!?
Vipi kuhusu hao Donosaurs ambao hata biblia haiwataji?
wanasayansi haswa ni baada ya kristo,watu walijifunza maandishi,maandishi yalichongwa kwenye mawe kama Sanaa ya uchongaji,kabla ata ya kutengenrza kalamIlianza sayansi ya maandishi, then karatasi.....mwisho biblia ikaandikwa Kwa kutumia sayansi...
Sent from my iPad Air using JamiiForums
Hujajibu maswali kadhaa hapo juu.
Unaamini katika mungu anayeadhibu watu kwa kufanya asivyopenda?
Ukinijibu hili nitakujibu dhambi.
Habari ya mungu wenu huyu muweza yote na mwenye maoenzi yote ni uongo mtupu.
Kwa.sababu ulimwengu wetu unamsuta na kuonyesha hawezekani kuwapo.
Ni wazi, wanadamu tumemuumba mungu.

Kaka yangu biblia Ina majibu yote...
Biblia ndo baba Wa sayansi zote ulimwenguni....
Wapi biblia.imethibitisha uneiquivocally kuwapo kwa mungu?
Wapi biblia.imejibu swali langu la imekuwa vipi mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao uovu unawezekanika kuwemo?
Mbona watu wanaunda magari na kuweka system zote za kiusalama na kuzuia uwezekano wa ajali bado gari zinaharibika??
Uovu wa dunia uliletwa na mwanadamu si Mungu...
Hujajibu swali la wapi kwenye biblia kuna majibu ya maswali yangu.
Kwa nini mungu mwenye uwezo.wote na ujuzi wote aumbe ulimwengu ambao mwanadamu anaweza kufanya uovu?
Mungu alipoumba dunia na kuruhusu uovu uwezekanike? Kama ndiyo, basi mungu ndiye baba wa uovu kwa maana ndiye aliyeuruhusu kabla hata binadamu hajakuwepo.
Kama mungu hajaruhusu uovu, basi mungu hana uwezo wote, kwa maana hajaruhusu uovu, na uovu unewezekana.
Mungu alipoumba ulimwengu aliruhusu uovu uwezekanike au hakuruhusu?
Kwahiyo unakiri Mungu yupo ila unapinga uwezo wake?
Mbona watu wanaunda magari na kuweka system zote za kiusalama na kuzuia uwezekano wa ajali bado gari zinaharibika??
Uovu wa dunia uliletwa na mwanadamu si Mungu...
Hyo itqbiti umzoee, huwa hajibu maswali zaidi ya kukuweka kwenye ignore listjibu swali langu ndio la kwanza kuulizwa hapa
Thibitisha kuwa hakuna Mungu.Nakuonyesha mungu hawezi kuwepo kwa sababu anajipinha mwenyewe.
On the one hand, ana uwezo wote na upendo wote, hivyo anaweza kuumba ulimwengu wowote ule atakao, ukiwamo ambao hauna maovu.
On the other, anaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana.
Kwa nini?
This is a logical contradiction of ungodly proportions.
Mungu huyu ni stories tu. Hayupo.
YOU HAVE FAILED to prove to us that God does not existNaam.
Kukataa ni cognitive dissonance na ignorance.
Nakuonyesha mungu hawezi kuwepo kwa sababu anajipinha mwenyewe.