wanatumia akili za nani hao non theist? Na wewe unatumia za nani?
Marehemu mungu wao ambaye ni "NEGATIVE GOD". Oooops alisha kufa kitambo,,,,
Marehemu mungu wao kashindwa kusema wapi alipo Mungu, basi na vikwembe vya Mbagala vinafuata mkumbo. HAKUNA HATA NON THEIST MMOJA HAPA DUNIANI MWENYE UBAVU WA KUTETEA IMANI YAO YA NEGATIVE GOD, I MEAN HAKUNA. WOTE NI WATUMIZI WA AKILI ZA MUNGU WAO HASI AMBAYE HAWANA UBAVU wa kumtete wala hawana uwezo wa kutuoneysha wapi alipo zaidi ya kuonyesha kuchanganyikiwa.
HUKO NDIKO TUNAKUUITA. AKILI TEGEMEZI.
kama huna muda wa kupoteza unafanya nini kwenye hii thread? Huna cha kuchangia tulia, jiheshimu uheshimiwe!!
Marehemu mungu wao ambaye ni "NEGATIVE GOD". Oooops alisha kufa kitambo,,,,
Marehemu mungu wao kashindwa kusema wapi alipo Mungu, basi na vikwembe vya Mbagala vinafuata mkumbo. HAKUNA HATA NON THEIST MMOJA HAPA DUNIANI MWENYE UBAVU WA KUTETEA IMANI YAO YA NEGATIVE GOD, I MEAN HAKUNA. WOTE NI WATUMIZI WA AKILI ZA MUNGU WAO HASI AMBAYE HAWANA UBAVU wa kumtete wala hawana uwezo wa kutuoneysha wapi alipo zaidi ya kuonyesha kuchanganyikiwa.
HUKO NDIKO TUNAKUUITA. AKILI TEGEMEZI.
Mungu wao ni yupi?
Negative God ambaye mpaka leo hawafahamu wapi alipo na watolea frustrations zao kwa wengine. HUO NI MSIBA KWA NON THEISTS.
haya tuachane na hayo, Umri wa dunia ni upi hasa?
Nani kakwambia Dunia ina Umri? Hayo ndio matatizo ya kutumia akili tegemezi kuuliza maswali.
una matatizo wewe si bure, kama huna majibu si upige kimya?
is so sad kuwa watoa maoni wengi wako so shallow
mtoa maada, biblia inasema HAPO MWANZO MUNGU ALIUMBA MBINGU NA NCHI. period hii iko mwanzo 1:1
all ur bing bang theories, gap analysis,.explosions.n.k viko hapo
then bible inaelezea kuwa dunia ilikuwa ukiwa..
all creation six days ni figurative language lakini kuna gaps kubwa sana in between, even bible says siku moja ni sawa na miaka 1000..
ni sawa na kusema Mungu aliumba adamu na hawa....that was just spiritual representation kuwa aliumba me na ke...lakini ukisoma biblia utagundua hakuwa adamu na hawa pekee na ndio maana kaini akapata sehemu ya kukimbilia na kuoa!!!!
tumeidharau biblia, but that is undisputable divine books inaelezea past.present na future...all dinosaurs, ukimwi, nuclear, mpaka android vimo mule. kuelewa just tune urself into position as explorer na sio kama unasoma magazeti ya shigongo
bible ni collection ya vitabu vilivyoandikwa katika span ya miaka tofauto sana....na sehemu tofauti lakini viko connected
wabe
Ni kweli dunia ina miaka mingi. Takrabini milioni kadhaa. Sidhani kama itakuwa imefika kwenye bilioni. Katika kutafiti kwangu nilifahamu kuwa hapo zamani dunia ilikuwa ikikaliwa na viumbe mbali mbali kama Dinosaurs. Sasa baada ya vita ya kule mbinguni Shetani na malaika zake wakatupwa huku duniani. Wakafanya uharibifu mkubwa sana wa dunia. Mungu alipoona hivyo akakasirika akaigandisha dunia (ice age) kwa miaka mingi sana. Wale viumbe wote waliokaa duniani wakafa ikiwa ni pamoja na hao Dinosaurs. Baada ya miaka mingi Mungu akaaamua kuifufua dunia, sasa historia mpya ya dunia inaanzia kwenye biblia kitabu cha mwanzo ambapo dunia ilikuwa giza tupu na Roho wa Bwana akikaa juu ya maji. Ndipo Mungu akasema iwepo nuru nayo nuru ikawa. Akatenga nchi kavu na bahari and story goes on and on. So dunia hii sio ya leo. (hii ni kutokana na udadavuzi wangu wa maandiko. Sina uhakika wa asilimia mia na hiki wadau)
Na Mungu alitokea wapi?,kuna uhusiano wa mawingu na mbingu?,mbinguni ni wapi?,vipi kuhusu Mars,Neptune,Pluto ,Jupiter ziliumbwa kabla au baada ya dunia na kwenye maandiko yapi?

maswali kama hayo huwa hayajibiki..watakwambia hayana uhusiano na binadamu!!
Wanasema akatenga maji yaliyo juu ya anga na yaliyo chini, sasa maji yaliyo juu ya anga ni yapi?

Alichosema Mapya Yaka ndio ukweli mtupu. Tangu Adam mpaka wakati wa gharika ilikuwa ni miaka 2000. Kutokea gharika mpaka wakati wa Yesu ni miaka mingine 2000. Tangu wakati wa Yesu ni miaka zaidi ya elfu mbili which takes us to 2014.
Ni muhimu pia kujua kwamba wakati wa gharika kuna animal species zilipotea kabisa kwa sababu Mungu slipping amiss dunia kwa gharika hakutaka baadhi ya wanyama waendelee kuishi kwani mwanadamu asingeweza kuwatawala Kama ulivyokuwa mpango wa Mungu. Hivyo akaona kwa usalama wa mwanadamu ni vyema awaangamize. Among these species were the famous Dinosseras ambao walikuwa wakubwa kuliko tembo wa leo alafu ni carnivals.
sijui mbingu una maana gani?? geographically au spiritually?
maana anga unaloliona ni OPEN SPACE???? sijakuelewa
There is no facts but assumptions. How did you collect those provable facts of 4.6 Billion years?according to geological fact ....ni 4.6 billion years