Kwa nini mungu ambaye anajua mahitaji yako kabla wewe hujazaliwa akuagize uombe?
Ana matatizo ya kisaikolojia yanayohusiana na narcissistic personality ya kupenda kuombwaombwa muda wote hata kama anajua unachohitaji na uwezo wa kukupatia anao?
kwa nini standard apange binadamu wakati mungu kasema binadamu wote ni sawa ndio maana hata wezi wanamuomba ili wafanikiwe
Thibitisha mungu yupo.
Ukishindwa kula ugali wako ukalale, achana na hadithi za kujifaragua na habari za kutetea kitu usichokijua.
Kabla ya kusema kwamba mungu kasema nini, thibitisha kwamba yupo kwanza.
wewe unatetea kitu gani unachokijua ?
Natetea kwamba huwezi kuthibitisha kwamba mungu yupo na hivyo unaongelea hadithi zisizothibitishika.
Kama hilo si kweli, thibitisha kwamba mungu yupo.
mbona watu wanajua watoto wao wana shida ila hawawapi mpaka waombe tena wasiposhukuru huwapora ??
hebu thibitisha kama siwezi kuthibitisha mungu yupo
Nimekupa nafasi umeshindwa kuthibitishwa, what more can I do?
Thibitisha kwamba mungu yupo.
Unafananisha mungu.mwenye uwezo wote na upendo.wote afanye mambo.sawa na watu?
Mimi kwetu baba akijua mtoto ana shida hasubiri kuombwa.
Kama kwenu baba ana matatizo ya kisaikolojia usifikiri kila sehemu ni hivyo.
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
je yupo au hayupo?
nashukuru kwa kujua mungu hafanani na watu .
sasa kama hafanani na watu unataka nithibitisheje ?
Hayupo, ni hadithi tu. Kwa sababu hiyo equation haija balance. Idea imeshindwa mtihani wa darasa la saba wa logic.
Kama unapinga, thibitisha kwamba huyu mungu yupo.
Hahahaaaaaaaaa ..... Kwa sababu mungu hawezi kushindwa mtihani wa logic wa watu.
Thibitisha kwamba yupo.
Nishaeleza the idea of a god who is all knowing and all loving who ends up creating the world we see is logically inconsistent.
Hayupo, ni hadithi tu. Kwa sababu hiyo equation haija balance. Idea imeshindwa mtihani wa darasa la saba wa logic.
Kama unapinga, thibitisha kwamba huyu mungu yupo.
Kwa kumuelezea mungu ambaye hashindwi mitihani ya logic ya watu.
Idea yoyote ya mungu ikishindwa mitihani ya logic ya watu inatuambia kwamba hiyo idea haiwezi kuwa inamuelezea mungu. Kwa sababu mungu hawezi kushindwa mtihani wa logic wa watu.
Hahahaaaaaaaaa ....
Huyu mtu bado kidogo ataokota makopo badala ya kubeba box huko aliko
Na ikifikia huo muda atapata tabu sana maana huko makopo atayapata kwa taabu sana
CC: Ishmael , Mkuu wa chuo , Lisa Valentine , Kichwa Ndio Mtu , speedcom kaka km Stefano Mtangoo String Theorist @HINI , Monstgala ....!!
hizo logic ambazo amepanga binadamu haziwezi kuthibitisha uwepo wa mungu kama machine kuwaka bila ya nguvu husika either mafuta au umeme
Kwa sababu hayupo.