tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,139
Habari zenu wakuu!!
Kwa muda sasa nimekuwa nikifutilia kuhusu mwanzo wa ulimwengu kwa maana ya sayari, mwezi/miezi, Nyota, jua pia Big bang na kinachoitwa Black Hole!!
Katika kufatilia huku nimekuja kupata mkanganyiko kwa namna biblia inavyoelezea vizazi toka kuumbwa Dunia na vilivyomo pamoja na Adam ambapo hata miaka 10,000 haifiki!! Upande wa pili ukiwafatilia wanasayansi ni kwamba kilichoanza ni Big bang(miaka 13.7bilion iliyopita), zikafuatia nyota na baadaye sayari yetu dunia(miaka 4.6 bilion iliyopita).
Je kwanini kuna tofauti kubwa sana kati ya kinachoitwa kitabu kitakatifu na sayansi ya ulimwengu, ni waandika biblia walidanganya au wanasayansi wanadanganya? Vipi kuhusu mabaki ya Dinosaurs yaliyogunduliwa na utafiti kuonesha hawa viumbe waliishi zaidi ya miaka 200 million iliyopita?