Seriously?Tuwasiliane dear nitakupa pesa utaenjoy. Maisha kusaidiana
Mimi tatizo kukaa home bila ramani manusiwaze sana mkuu...mimi mwenyew namaliza mwaka huu...sina muelekeo ila najipa tu matumaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Maliza kwanza..je wale waliomaliza wana miaka mitano hawana ajira utawaweka kundi gan mkuu!?relaxDuh! Ni sawa lkn mie naona umri unasonga kwa kas ya 4G
wengine tumejiegesha tu seem ili kukwepa kukaa home....ukizingatia na hii corona amna ata mishe ya kufanya
Njoo tutred foreksiHabari wana janvi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.
But mimi ni mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi july ningemaliza. Mbay zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of art with education. Nifanye nini?
Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.
Naombeni ushauri wenu wana JF
wengine tumejiegesha tu seem ili kukwepa kukaa home....ukizingatia na hii corona amna ata mishe ya kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana janvi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.
But mimi ni mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi july ningemaliza. Mbay zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of art with education. Nifanye nini?
Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.
Naombeni ushauri wenu wana JF
Watu kama wewe ndo nawataka sasa mnishauri kuwa mmewezaje make kweli kitaa n noma sanaNinyi ndio wale wanaojinyongaga waleee...
Mi nimemaliza chuo 2017 niko mtaani sijaajiriwa natembeza maisha kibishi na harakati za kitaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli man make duh! Mpaka nachanganyikiwa kabsakwa umri huo 26 naona umechelewa. ukimaliza chuo mwaka wa tatu una miaka (26 - 27) bado hapo ajira ukupiga mahesabu ya kupata ajira kwa hali hii ni kukadilia miaka mitatu au minne utakuwa una miaka 30...my friend pambana sanaa kama ni kupata connection ili uajiriwe au ujiajiri..
Sent using Jamii Forums mobile app