Umri unasogea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umri unasogea

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by rosemarie, May 21, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Jamani umri wangu naona kama unasogea taratibu,nina miaka 42 lakini sijaoa bado,lakini niliishi na mwanamke miaka ya nyuma tukazaa lakini tulipoachana mpaka leo sijafikiria kuoa tena,lakini nahisi nimejiandaa kupambana na uzee peke yangu,kuna ushauri?
   
 2. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mambo yako ya ajabu kama Avatar yako!!!
   
 3. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Utakuwa na matatizo, hebu kuwa muwazi usaidiwe.
   
 4. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ona hapa Asha,


  The Following User Says Thank You to Aisha Adam For This Useful Post:

  Susy (Today) ​
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sina matatizo kama bao napiga vizuri
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndugu
  Hata ulivyojieleza ni matatizo matupu
  Huyo uliyeishi na kuzaa nae ulimuoa?? Mliachana kwa sababu zipi, na wakati gani?? Au ulimpa mimba akiwa shule???
  Sasa uzee utaishiji peke yako?? Ukiumwa nani wa kukupeleka hospital?? Ukistaafu nani wa kukutunza?? Au unafikiri pensheni haiishi???
  Badilika bana, wanawake wamejaa kibao siku hizi.

  Ila tahadhari! Sio vyote vin'gaavyo ni dhahabu.
  Jaribu kumfahamu kwanza mwanamke kabla ya hatua yoyote.
   
 7. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Daah! mi nahisi unamatatizo mzee, hebu kawaone wataalamu kwani unaweza ukawa unajiona upo sawa kumbe unamatatizo
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nitafute wa umri upi?hakuna kitu nachukia kama kupigiwa mkeo,nisije zeeka yeye bado anadai
   
 9. CPU

  CPU JF Gold Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nimeku-misso balaa
   
 10. CPU

  CPU JF Gold Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndugu
  Swali lako tu linaonyesha HUNA NIA ya kuishi na mwenza.
  Mwanaume wa miaka 42 aniulize kijana kama mimi (umenizidi miaka kumi na kitu) eti atafute mwanamke wa umri gani???
  Si baadae utaniuliza na kabila kabisa.
  Kuna wanawake wa miaka mpaka 55 hawajaolewa mpaka sasa, sembuse kijana wa miaka 42.

  We bado kijana mdogo sana, hata uzee wala hukaribii ila sema mawazo yako tu ndo yanakuzeesha
   
 11. MAENE

  MAENE Senior Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  mmh kwa staili ulivyojieleza utaishia kupokea maneno ya kukuvunja nguvu,we mbona ni mtu mzima kabisa unashindwa nini kujieleza vizuri na kuweka mambo wazi upate ushauri wa kukufaa hapahapa.acha kujieleza kama mtoto wa chekechea ili usaidiwe.
   
 12. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tulia bado umri unaruhusu tafuta mwenye kukufaa ila kumbuka sio kila mwanamke ni mke, usije kurupuka ukaangukia koroma. Mwombe mungu akufungue na umpate mke mwema.


  Ila kumbuka watoto ulionao ni wakwako na mke wako pia usiwasahau
   
 13. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  life begins at 40....
   
 14. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo nilipo bold sio sawa mpendwa acha kumpotosha mwenzako 42yrs unasema umri bado unaruhusu? Na ili ampate mwanamke atayeendana nae kwa sasa ni kuanzia age ya 35 na kuendelea ambapo kwa sisi wanawake wa sasa mtu akifikia age hiyo hajapata mtoto inakuwa ni shida sana kumpata so sijui mtazamo wako lbd kama ataamua kuwa na mke lbd atakuwa wa kula nae raha tu.
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  umri ukifika hapo ni ngumu sana kuishi na mwanamke
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  CPU,umetoa ushauri wa hekima sana,isipokuwa tu kwenye hizo red,hayo mambo siku zote ndo huwa nayakataa,'kuoa kwa sababu ya....',hapa unaongelea kuoa kwa sababu ya kukwepa upweke uzeeni,kuwa na nesi wa uhakika,kutunzwa....jamani hizi ndizo SABABU za kuoa kweli? ina maana kama nina invest kwenye 'nursing home' nikalipia pesa kabisa wakati wa ujana wangu basi kwa msingi huu sitakuwa na sababu ya kuoa kwa sababu uzee wangu uko secured?
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  ana matatizo kivipi?
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  kwa umri huo tafuta agemate wako mana ukitaka dogodogo utapata presha na hivi 50 haipo mbali na wewe utazeeka mara mbili..
   
 19. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  bishanga naomba wanilewe,sina tatizo lolote ila nahisi naona labda sio lazima kuoa thats all
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndio kuao sio lazima ni maamuzi tu!!Kama unaona unapenda/taka/hitaji kufanya hivyo usisubirir mpaka mvi ziote na
  kipara kikolee!Zaidi ya hapo kua tayari kuishi maisha ya upweke kwasababu huna mtu wa uhakika....
   
Loading...