Wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi kuumwa ugonjwa wa akili akiwa jeshini hali iliyofanya apumzishwe kwa manufa ya umma, tafadhali mwenye taarifa sahihi juu ya hayo atuwekee kwa ufafanuzi zaidi