Nenda PM sasaNimekaa seat ya mbele
Kwa mawazo yangu na ukweli niujuao ni kwamba, "mapenzi hayachagui wala hayabagui".
Tafuta kazi
[/QUOT]
Rejea Uzi mkuu amesema anatafuta mke tena kwenye hela hayo mengine tuyaache
No money no loveWe jamaa bhana,mapenzi hayachagui wala hayabagui huku umewabagua wasio na pesa
Si amekaa siti ya mbele so lead is firstKwani huyo ni jinsia ya kike?
Vigezo na masharti kuzingatiwaKumbe hadi wanaume wanatafuta kudanga
No money no love
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Si amekaa siti ya mbele so lead is first
Safi Sana kwa mwanaume umefika wakati na sisi tunaweka vigezo vya MTU tunae mtaka
Tumezoea kusikia wanawake wakoweka vigezo kwa mwanaume wanao wataka.na mwanaume pia tunazingatia vigezo
Unakuja mwanamke anakuuliza eti una gari,kazi,nyumba huku yeye hana hata kimojawapo.mkuu utapata naamini kwa vigezo hvyo hapa JF wapo wengi naamin PM yako itafurika maana so kwa Uzi huu
Nenda PM sasa