DAh! Kuna mmms mmoja nlikuta kanisave majina yangu yote matatu ya nida na mwisho kabisa akaongezea na mtandao "airtel".
Af hapo hapo ananipiga mzinga na kusema ananipenda.
Nlivomruka hatasahau bladihenken!