Umri na mwili ni sawa?

Iyo naeza amini maana na mimi ni muhanga, nimezaliwa 93, babaang anadai nlikua nakua kwa kas mno ad kuniwahisha shule, nimeanza shule na miaka 3, nkamaliza primary na miaka 11 ,, japo wengi wananambiaga nna sura ya kitoto, na mambo yangu yalikua hayaendani na rika linalonizunguka, mpaka nipo form six nlikua napenda kuchezacheza ovyo, nkavunja ungo form 5, chuo nimeanda akili za kikubwa nlikua sina kabisa, meanza kujitambua nkiwa chuo, ila ukiliona umbo langu ni la kikubwa sana
 
Kwa wakenya ni sawa kabisaaa, ila Tanzania huyo ni babu yake mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…