Umri na mwili ni sawa?

Umri na mwili ni sawa?

Ila mkuu sishangai sana japo mm nipo visevesa...umri wangu umeenda ila nina mwili mdogo mfupi alaf sura nayo ndo ivo imegoma kukomaa japo ndo ivo miaka inakwenda...in general naonekana mtoto kabisa ata shule ya msingi naweza rudi
Nadhani atakuwa alidanganya umri,lasivyo kuna kitu kinamzeesha
 
Back
Top Bottom