blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,165
- 5,710
Aiyaaa...safari njemaKesho nisubirie tu
Aiyaaa...safari njemaKesho nisubirie tu
Demiss toka jana juzi hujapata hii huduma! pole sana nakusihi kama upo Kinondoni kimbia haraka ukweli wa Dar anaujua Wema SepengaNina NY.ege
Aiyaaa...safari njema
Demiss toka jana juzi hujapata hii huduma! pole sana nakusihi kama upo Kinondoni kimbia haraka ukweli wa Dar anaujua Wema Sepenga
Pole sana, Songea Rock zone utapata huduma swafi kabisaNipo dodoma
Pole sana, Songea Rock zone utapata huduma swafi kabisa
Karibu jiji la samaki, ulainishe mwiliNielekeze vizur
Ndiyo umri wa wazazi wetu.Aisee ni mingi sana, kuna mmoja hapo juu kasema mzee wake ni wa 70s! Mtu wa 70s eti mzee! Yaani leo nimejiona mimi wa zamani sana...



Karibu jiji la samaki, ulainishe mwili
Hii mbona kama ni photoshop mkuuMzee Kagere ila inasemekana umri wake sahizi ana 29 yrs oldView attachment 1132081
Nina NY.ege
bado zipo?
Umezaliwa mwaka 97?Ndiyo umri wa wazazi wetu.
Mama yangu kazaliwa 1973.
![]()
Kwanini 97? Nimezaliwa chini ya hapo na mimi ni mtoto wa pili kuzaliwa.Umezaliwa mwaka 97?
Ndiyooo