Mimi nina umri wa nusu karne, lkn muonekano wangu utadhani nina miaka 35! Watu wengi huwa hawaniamini kbs!
Yeah sure ...Wacheza mpira wengi wa Africa wanadanganya umri
SubiriWeka picha tuone
Hatutaki kuzeekaKwa Nini Africans wanapenda Sana udogo?
Hili swali sijawahi pata jibu[emoji849]
Duh!!!!!!!!!labda ndio umri wakeMchezaji wa kenya amezaliwa Januari 31, 1992,je unaweza kuamini ana miaka 27?unahisi ni kitu gani kimemkuza hivi?
View attachment 1131833
Umesha pona eehNina NY.ege
Umesha pona eeh
[emoji849][emoji39][emoji39]Nina NY.ege
Jaman[emoji849][emoji39][emoji39]
Jaman
Fanya mpango twende wote mbinguni kwa njia ileee[emoji8]
Ya kutubu tukiwa uchi[emoji2][emoji23]Njia IPI?
Ya kutubu tukiwa uchi[emoji2][emoji23]
Lool...kwann cha mdeko[emoji849]Sitak mm
Lool...kwann cha mdeko[emoji849]
Poa utanikuta ubungoNimeshapata
Poa utanikuta ubungo