Umri na mwili ni sawa?

Sahivi ana 20 yrs old
 

Attachments

  • Screenshot_20180617-121624.jpg
    49 KB · Views: 37
Huyo ni Joseph Minala mchezaji wa Seie A, hyo picha aliyo na legend Antonio Candreva hapo alikuwa 17 yrs old. Hii nyingine hapo amekuwa kidogo sahizi ana 22. So msishangae umri kuwa tofauti na muonekano
 
Ila mkuu sishangai sana japo mm nipo visevesa...umri wangu umeenda ila nina mwili mdogo mfupi alaf sura nayo ndo ivo imegoma kukomaa japo ndo ivo miaka inakwenda...in general naonekana mtoto kabisa ata shule ya msingi naweza rudi
Yaani kwa muonekano mwili umezeeka umri bado, kaz kweli kweli!
 
Mimi nina umri wa nusu karne, lkn muonekano wangu utadhani nina miaka 35! Watu wengi huwa hawaniamini kbs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…