Kweli mkuu .ile ni kama photocopy mashine!mwanamke anaweza kuzeeka sura but akaproduce mtoto genious kinoma!-nmejibu kimtaa mtaa.
ngoja waje wanataaluma watwambie!
Heshima kwenu Madaktari, naomba kujua ukomo wa umri wa mwanamke kuzaa.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33. Nimekuwa na uhusiano na mabinti wa umri chini yangu ila wamekuwa wakiniacha kwa sababu ambayo ipo nje ya uwezo wangu kuirekebisha.
Kutokana na mimi kuwa na hamu ya kuitwa baba,nimebahatika kupata mwanamke mwenye umri wa miaka 43 ambaye amesema yupo tayari nizae nae.
Naomba kujua kama jambo hili linawezekana haswa kwa mtoto atakayezaliwa kama atakuwa na afya njema.
Ni matumaini yangu kujibiwa vyema na waheshimiwa Madaktari.
Ahsanteni.
Kuna dada mwaka 2015 alipata twins wa kike na wa kiume katika umri wa 49 yaani ali conserve akiwa 48, madaktari walimpa somo watoto wanaweza kuzaliwa na downing syndrome, watoto wametoka fresh, na ilikuwa natural birth.Heshima kwenu Madaktari, naomba kujua ukomo wa umri wa mwanamke kuzaa.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33. Nimekuwa na uhusiano na mabinti wa umri chini yangu ila wamekuwa wakiniacha kwa sababu ambayo ipo nje ya uwezo wangu kuirekebisha.
Kutokana na mimi kuwa na hamu ya kuitwa baba,nimebahatika kupata mwanamke mwenye umri wa miaka 43 ambaye amesema yupo tayari nizae nae.
Naomba kujua kama jambo hili linawezekana haswa kwa mtoto atakayezaliwa kama atakuwa na afya njema.
Ni matumaini yangu kujibiwa vyema na waheshimiwa Madaktari.
Ahsanteni.
Kuna dada mwaka 2015 alipata twins wa kike na wa kiume katika umri wa 49 yaani ali conserve akiwa 48, madaktari walimpa somo watoto wanaweza kuzaliwa na downing syndrome, watoto wametoka fresh, na ilikuwa natural birth.
. ANA ZAA TU HUYOHeshima kwenu Madaktari, naomba kujua ukomo wa umri wa mwanamke kuzaa.