Umri gani sahihi kupata mtoto?

Umri gani sahihi kupata mtoto?

Mimi naona umri haujalishi,kwa sababu ukiwa na uwezo wa kubeba ujauzito au kusababisha ujauzito tayari niumri sahihi.

Ila utayari wako ndio jambo la msingi.
Unatakiwa uwe tayari kuwa baba /mama na pia kuwa mlezi. Hapo unaelewa inatakiwa uwe na vitu gani.
 
Umri sahihi ,
Ni pale utakapopiga hesabu ya miaka yako ,
Kisha angalia unahitaji baadae ulee watoto wako wakuite babu
Una Miaka 40 , mtoto miaka10 🙊

Kama gari🚗 lipo unasubiri Nini mkuu👨‍👨‍👧
 
Mm nakushauli umpe mimba huyo mwanamke, lkn uczae nje ya ndoa muowe kwanza, hakuna kitu kizuli kama kuzaa mapema kwa maana utakamilisha vizuli majukumu ya mwanao ukiwa bado unanguvu, zaa sasa hata watoto 4 ukifika miaka 60 mtoto wako WA mwisho yupo chuo hawa wengine wanajitegea tayali

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona umri haujalishi,kwa sababu ukiwa na uwezo wa kubeba ujauzito au kusababisha ujauzito tayari niumri sahihi.

Ila utayari wako ndio jambo la msingi.
Unatakiwa uwe tayari kuwa baba /mama na pia kuwa mlezi. Hapo unaelewa inatakiwa uwe na vitu gani.

Duh seriously?
Umri haujalishi?
Msichana 16 years na mvulana 17 years
Wakiona wako tayari ..it's OK?
 
Kupata mtoto unaweza kupata pale tu ukibalehe na kuweza kubebesha ujauzito mwanamke au kubeba ujauzito wa mwanaume.

Ila kama ulimaanisha muda wa kuanza kuwa mama au baba, then unatakiwa kujua muda sahihi ni pale akili yako itakapokuwa tayari kuwa serious na maisha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom