Haijaandikwa kwamba it is right kuowa umri flani, kama mdogo wako ana 32 maana yake wewe umemzidi,tunategemea maneno ya hekima+busara toka kwako ili umuongoze mdogo wako, kama huna malengo/objectives ndio tatizo linaanzia hapo! Hebu niambie umri wa kawaida wa maisha ya mtanzania kwa sasa! Umesema atakapofika 40 ndio atakuwa ametulia! Yani ndio atakuwa mzee au ndio atakuwa anaakili vizuri! Ni tatizo kama mpaka umri wa miaka 32 hajui nini atakacho! Badala ya kumshauri aanze kudate na wasichana mbalimbali hebu mshauri basi aanze kwenda msikitini/kanisani, aanze kwenda katika semina za wasioowa, aanze kusoma vitabu n.k lakini zaidi msaidie ajitambue. Usiruhusu mazingira yaamue mambo kwa ajili yako! Una miaka 60 mtoto wako wa kwanza yupo form 2!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums