umri gani mwanaume anapaswa kua na mpenzi?

Usinchekeshe. . .
Kwahiyo siku ya harusi ataenda mjini/sokoni/bar/shuleni/kanisani/msikitini akamate binti yeyote na kwenda kumuo?

Kaaaazi kweli kweli.

yeah vyovyote itavyokuwa itakuwa Lizzy:kuwa na mahusiano nje kwa miaka mingi it doesnt "guerantee marriage" kwani wangapi wamekaa na watu wao kwa miaka lakini tukaona dakika za mwisho jamaa kaoa mwingine tusomjua?
 
Ukianza kusikia hamu ya kufanya mapenzi ndio umri unaotakiwa kwa mwanaume kuwa na mpenzi hata kama ukiwa na miaka miwili.
 
Kuwa na mpenzi haina maana mngonoke.

Kwani huyo mke atampata na kumfahamu siku hiyo hiyo yaharusi?[/QUOTE]
Lizzy mamy wewe ukisema mpenzi unakuwa unamaanisha nini kama si mwenzi wa kungonoka?kuna aliposema yeye hana marafiki wa kike?au unataka kuniambia marafiki wa kike wanaitwa wapenzi?

hapo kwenye high light ndio haswa inatakiwa iwe hivyo...it was planned to be like that by our creator weather you are believer or non believer!

Sikatai ila tuache unafiki...namaanisha apooo kwenye blue.....Nani anaweza??? Asiye na dhambi hiyo awe wa kwanza kunipiga jiwe.....
 
Kupata mpenzi au mwenza ni akili yako tu pamoja na hilo unaweza kusubiri mpaka Nyege zipande ndio ushituke?
 
mi naonaa umrii sahii wa kuwa na mwanamke ni pale unapo kuwa tayarii kuwaa na mwanamkee,kifikiraaaa,kiuchumiii
 
Back
Top Bottom