UmojaSwitch yaja na UmojaMobile piga *150*17#

UmojaSwitch yaja na UmojaMobile piga *150*17#

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
628
Katika kuendelea kusogeza huduma kwa wateja, Pamoja na kuendelea kusambaza ATM nchi nzima, UmojaSwitch sasa imekuja na UmojaMobile, hizi ni huduma za kibenki kwa kupitia simu ya mkononi kwa wateja wa benki zote ambazo ni wanachama wa Umoja.

Piga *150*17# kupata huduma za benki kwenye simu yako, Baadhi ya huduma unazoweza kupata kutoka UmojaMobile ni

  1. Balance enquiry
  2. Mini statement
  3. Funds transfer (from one bank to another - members of umojaswitch)
  4. Bank Account to Mpesa & Airtel Money
  5. Mpesa & Airtel Money to Bank Account
  6. Cheque book request
  7. Cheque status enquiry
  8. Full statement request
  9. Foreign exchange rate request
  10. Cash deposits and/or withdrawals
  11. Transaction alerts

You can also buy or make payment for (Straight from you bank account)

  1. Prepaid Airtime
  2. LUKU
  3. DAWASCO
  4. TTCL Prepaid
  5. TTCL Broadband
  6. Sasatel
  7. StarTimes
  8. DSTV
  9. NECTA
  10. Azam Marine Ferry

Kwa sasa wateja wa Airtel na Vodacon ndio wanaweza kufurahia huduma hii, kazi inaendelea kuwawezesha wateja wa Tigo na MNOs wengine.

Karibu kwa swali na maoni

UmojaSwitch for your convinience!

 
Mkuu mtu hukatwa kiasi gani kwa kutumia moja kati kila huduma hapo juu?
 
Mkuu mtu hukatwa kiasi gani kwa kutumia moja kati kila huduma hapo juu?

Unapolipia kitu au kununua kitu kama airtime, Luku, DSTV, Dawasco nk hakuna gharama ya ziada, sisi hulipa na biller (muuzaji eg TANESCO, DSTV, nk)

Utapofanya transactions nyingine tozo zake hwa kama ifuatavyo;


  1. Balance enquiry - 200
  2. Mini statement - 200
  3. Funds transfer (from one bank to another - members of umojaswitch) - 1,000
  4. Bank Account to Mpesa & Airtel Money - 1,000
  5. Mpesa & Airtel Money to Bank Account - 1,000
  6. Cheque book request - 200
  7. Cheque status enquiry - 200
  8. Full statement request - 200
  9. Foreign exchange rate request - 200
  10. Cash deposits and/or withdrawals -
  11. Transaction alerts - 200

Karibu kama kuna swali zaidi
 
Thanx mkuu, ila nimejaribu kujiunga bila mafanikio kwani kuna sms inaingia ikisema hujasajiliwa! Nimesjiliwa na ninatumia m-pesa kila mara! Any help?
 
Thanx mkuu, ila nimejaribu kujiunga bila mafanikio kwani kuna sms inaingia ikisema hujasajiliwa! Nimesjiliwa na ninatumia m-pesa kila mara! Any help?

Hello Ntu,

Kwa sasa ili kujiunga na huduma ya umojamobile utahitaji kuwasiliana na benki yako, bila shaka wewe ni mteja wa benki mojawapo, lakini very soon utaweza kufanya self registration kwa kutumia ATM yetu yeyote. kama utahitaji maelezo zaidi unaweza kunipata kwa 0787-730813 au fika kwa tawi la benki yako.

Karibu
 
Thanx mkuu, ila nimejaribu kujiunga bila mafanikio kwani kuna sms inaingia ikisema hujasajiliwa! Nimesjiliwa na ninatumia m-pesa kila mara! Any help?

ntu ulifanikiwa?
 
Yes, thanks mkuu!

Karibu!

kwa kutumia umoja mobile banking unaweza kutuma hadi 5m, kutoka benki moja hadi benki nyingine (account to account). hii ni real time, na gharama yake ni tsh 1000 (kwa kutumia umoja mobile banking) (ten times cheaper kuliko TISS)

Ukifanya katika ATM zetu gharama ni yake Tsh 550. (around 17 times cheaper kuliko TISS)


 
Back
Top Bottom