Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na LHRC, nyote mnatumikia tu maadui wa Makonda

troiker

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,490
2,428
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makonda kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona hayo hamtoki hadharani kuyapongeza?

Wewe Chatanda na huyo mwenzio wa LHRC mbona hatukuwaona kulaani yule mama mtoto wake alilawitiwa na hatimaye yule mama alikuja kufa kwa presha?

Hii nchi ngumu sana, najua hata Kinana yupo nyuma huu mpango wa kumuingiza chaka Rais Samia.

Najua wapo wengine wanaandaliwa zaidi kujifanya kulaani. Kipi kibaya au sheria ipi imevunjwa? Haya mambo ya kulea wezi ndio yanalitafuna taifa hili.

Swali, unyenyekevu upi unaotakiwa kwa watumishi wezi na wazembe kisa wana umri mkubwa?

Watanzania tumerogwa, sifa yetu ni majungu na fitina tu hatuna lingine.

Tokeni hadharani kuyapongeza na yale mema ambayo kijana huyu anayatenda
 
Makonda ana fanya vizuri ku deal na watumishi wababe, wazembe, miungu watu.

ILA

Makonda ana penda sifa za kijinga.
ana penda kuwa one man show
Hana sifa za kiongozi ana sifa za kiharakati

Ni kweli ali mdharirisha yule dada kwa kusema eti yy ana mke mzuri..

PS
- Watu wengine wanaosema eti makonda hajakosea kumsifia mkewe ni jambo jema, mbona hata Aweso na wengineo wana sifia wake zao.. hawa wana jitoa ufahamu au hawaja angalia clip nzima siku makonda ana jitafutia kiki kwa kuleta mambo ya mkewe ikiwa ana maanisha yule dada ni mbaya. .

- watu wengine wana sema mbona hata mama Abdul alitukanwa na mange matusi makubwa hao wana mnanga makonda hawakujitokeza hadharani kukemea.. lile limekaa kitaasisi zaidi, kujitokeza kukema ni sawa na kulikuza jambo, walivyo mpuuza mange ni jambo jema.. hata hivyo huwezi kuhalalisha kosa la makonda kwa ku compare na kosa lingine

watu wengine wanasema makonda ana pambana na wabadhirifu, ni sawa kuwa dharirisha, hawa ndiyo wajinga kabisa.. Si wote wanakuwa wabadhirifu, ni hulka ya makonda kujitanua mabega .
 
Makonda ana fanya vizuri mu deal na watumishi wababe..

ILA

Makonda ana penda sifa za kijinga.
ana penda kuwa one man show
Hana sifa za kiongozi ana sifa za kiharakati

Ni kweli ali mdharirisha yule dada kwa kusema eti yy ana mke mzuri..
Ndio alisema anamke mzuri kosa lipi?

Angesema anamke mzuri kuliko huyo mama hapo ndio ingekuwa kamdhalilisha

Mengine mnadandia tu
 
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makondà kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona hayo hamtoki hadharani kuyapongeza?

Hii nchi ngumu sana, najua hata kinana yupo nyuma huu mpango wa kumuingiza chaka rais Samia.

Najua wapo wengine wanaandaliwa zaidi kujifanya kulaani,kipi kibaya au sheria ipi imevunjwa,? haya mambo ya kulea wezi ndio yanalitafuna taifa hili

Swali unyenyekevu upi unaotakiwa kwa watumishi wezi na wazembe kisa Wana umri mkubwa?

Watanzania tumerogwa, sifa yetu ni majungu na fitina tu hatuna lingine.

Tokeni hadharani kuyapongeza na yale mema ambayo kijana huyu anayatenda
Halafu hao hao wanaomshutumu Makonda walikaa kimya kwenye mkutano wao pale Mzee Mpendwa wao aliposema "Wazuri hawafi"! Wanafikiri tumesahau!
 
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makondà kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona hayo hamtoki hadharani kuyapongeza?

Hii nchi ngumu sana, najua hata kinana yupo nyuma huu mpango wa kumuingiza chaka rais Samia.

Najua wapo wengine wanaandaliwa zaidi kujifanya kulaani,kipi kibaya au sheria ipi imevunjwa, haya mambo ya kulea wezi ndio yanalitafuna taifa hili

Swali unyenyekevu upi unaotakiwa kwa watumishi wezi na wazembe kisa Wana umri mkubwa?

Watanzania tumerogwa, sifa yetu ni majungu na fitina tu hatuna lingine
Wewe ni mjinga tu , kwani ukimtendea jema mtu inakupa uhalali wa kumtendea maovu?
Kumbuka kutenda mema kwa kiongozi ni wajibu wala sio ombi hivyo mema kwa watu anao waongoza ni sehemu ya majukumu yake na wajibu wake na ndio kazi yake l, hivyo hahitaji kusifiwa eti kwa kutenda mema kwa wananchi, bali kutenda kinyume na hapo ni kukiuka majukumu. Usitetee ujinga na hii inaonesha kuwa hata wewe unauelewa mdogo sana kwenye haya maswala ya utawala na uongozi
 
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makondà kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona hayo hamtoki hadharani kuyapongeza?

Hii nchi ngumu sana, najua hata kinana yupo nyuma huu mpango wa kumuingiza chaka rais Samia.

Najua wapo wengine wanaandaliwa zaidi kujifanya kulaani,kipi kibaya au sheria ipi imevunjwa,? haya mambo ya kulea wezi ndio yanalitafuna taifa hili

Swali unyenyekevu upi unaotakiwa kwa watumishi wezi na wazembe kisa Wana umri mkubwa?

Watanzania tumerogwa, sifa yetu ni majungu na fitina tu hatuna lingine.

Tokeni hadharani kuyapongeza na yale mema ambayo kijana huyu anayatenda
Kweli sikujua kama wewe ni mtu wa hovyo kiasi hiki, hivi Bashite ana jema gani zaidi ya uovu tu,au wewe humjui Bashite?
 
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makondà kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona hayo hamtoki hadharani kuyapongeza?

Hii nchi ngumu sana, najua hata kinana yupo nyuma huu mpango wa kumuingiza chaka rais Samia.

Najua wapo wengine wanaandaliwa zaidi kujifanya kulaani,kipi kibaya au sheria ipi imevunjwa,? haya mambo ya kulea wezi ndio yanalitafuna taifa hili

Swali unyenyekevu upi unaotakiwa kwa watumishi wezi na wazembe kisa Wana umri mkubwa?

Watanzania tumerogwa, sifa yetu ni majungu na fitina tu hatuna lingine.

Tokeni hadharani kuyapongeza na yale mema ambayo kijana huyu anayatenda
Sasa wewe wizi wa mtu ni nani nani anapaswa kudeal nao. Na mahakama au mkuu wa mkoa? Mahakama ndo inapaswa kujua wizi wa mtu siyi mkuu wa mkoa. Msituletee ushamba kama ule wa lile jamaaa ambalo halikujua mipaka yake. Sasa sheria zilikuwa na maana gani kuwekwa kama hazifuatwi tena
 
Makonda alipaswa kuwa jela kwa ufedhuli wake. Kama mnakumbuka aliwahi kumnasa vibao na kumpiga ngwala mzee Warioba.

CCM wakiendelea kumlea kuna siku atawapiga ngwala na kuwanasa makofi Kinana, Kikwete, Samia, Jenista, Nchimbi, Makalla, n.k.

Makonda siyo mtu, ni takataka ile.
 
Halafu hao hao wanaomshutumu Makonda walikaa kimya kwenye mkutano wao pale Mzee Mpendwa wao aliposema "Waziri hawafi"! Wanafikiri tumesahau!
Rais Samia awe makini sana, waovu nchi hii wanajificha kwenye kichaka cha lugha laini, kumbe mafisi na wafitini wakubwa sana, wakiona mtu mbunifu kuzidi wao na anamvuto wanaaza ujinga wao
 
Ndio alisema anamke mzuri kosa lipi?

Angesema anamke mzuri kuliko huyo mama hapo ndio ingekuwa kamdhalilisha

Mengine mnadandia tu
Wewe ndio una uelewa mdogo sana wa mambo tena very low reasoning level, kasema anamke mzuri akimlinganisha na nani? Mlengo wa kauli hiyo ni upi kama sio kumlinganisha yule dada na mke wake? Basi angesema ana kiatu kizuri au nyumba nzuri? Kwanini atumie mke ikiwa anaye ongea naye ni mwanamke pia? Ina maana kwa akili yako hiyo hiyo ndogo umeshindwa hata kufanya uchambuzi mdogo kabisa kwa jambo jepesi kama hili? Kweli hii nchi watu wenye akili wanaendelea kupungua sana vilaza ni wengi sana ndio maana miaka yote tupo pale pale
 
Wewe ni mjinga tu , kwani ukimtendea jema mtu inakupa uhalali wa kumtendea maovu?
Kumbuka kutenda mema kwa kiongozi ni wajibu wala sio ombi hivyo mema kwa watu anao waongoza ni sehemu ya majukumu yake na wajibu wake na ndio kazi yake l, hivyo hahitaji kusifiwa eti kwa kutenda mema kwa wananchi, bali kutenda kinyume na hapo ni kukiuka majukumu. Usitetee ujinga na hii inaonesha kuwa hata wewe unauelewa mdogo sana kwenye haya maswala ya utawala na uongozi
Ovu lipi Makonda kafanya?
 
Wewe ndio una uelewa mdogo sana wa mambo tena very low reasoning level, kasema anamke mzuri akimlinganisha na nani? Mlengo wa kauli hiyo ni upi kama sio kumlinganisha yule dada na mke wake? Basi angesema ana kiatu kizuri au nyumba nzuri? Kwanini atumie mke ikiwa anaye ongea naye ni mwanamke pia? Ina maana kwa akili yako hiyo hiyo ndogo umeshindwa hata kufanya uchambuzi mdogo kabisa kwa jambo jepesi kama hili? Kweli hii nchi watu wenye akili wanaendelea kupungua sana vilaza ni wengi sana ndio maana miaka yote tupo pale pale
Haters mko kazini
 
Rais Samia awe makini sana, waovu nchi hii wanajificha kwenye kichaka cha lugha laini, kumbe mafisi na wafitini wakubwa sana, wakiona mtu mbunifu kuzidi wao na anamvuto wanaaza ujinga wao
Mkuu wa mkoa anaye fuja oesa za walipa kodi maskini hatumtaki , akiwa mwenezi kaiingiza serikali hasara ya mamilioni magari ya serikali hadi leo hayaja tengenezwa , huko nako kabeba magari ya tour zaidi ya ishirini anatembea nayo , huyu mtu mnapata wapi ujasiri wa kumuona ni mtetezi wa wanyonge ikiwa matendo yake ni ya kuwanyonya hao hao wananchi

Makonda ni kama magufuli tu wanajificha kwenye mgongo wa kujitakasa kwa wananchi wenyewe uelewa mdogo huku vitendo vyao havisadifu kabisa kile wanacho kiongea
 
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makondà kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona hayo hamtoki hadharani kuyapongeza?

Hii nchi ngumu sana, najua hata kinana yupo nyuma huu mpango wa kumuingiza chaka rais Samia.

Najua wapo wengine wanaandaliwa zaidi kujifanya kulaani,kipi kibaya au sheria ipi imevunjwa,? haya mambo ya kulea wezi ndio yanalitafuna taifa hili

Swali unyenyekevu upi unaotakiwa kwa watumishi wezi na wazembe kisa Wana umri mkubwa?

Watanzania tumerogwa, sifa yetu ni majungu na fitina tu hatuna lingine.

Tokeni hadharani kuyapongeza na yale mema ambayo kijana huyu anayatenda
Mary chatanda Hana mvuto wowote kuanzia Sura, uongozi hadi ushawishi . Tofauti na enzi za Sofia simba (UWT)

Na kwa kauli zake na anavyowasilisha hoja zake unaona kabisa huyu hana uwezo wowote zaidi ya jina kumbeba .

Kauli ya kusema aliwatumia clips viongozi wenzake kina majaliwa inamaana ndani ya Chama kuna kundi linalompinga Makonda likiongozwa na Kassim majaliwa..
 
Ndio shida ya akili kuhamia tumboni.

Kunawakati unajiuliza ivi wabongo tunataka nini hasa.

Akitokea kiongozi anejaribu kupambana na watumishi wazembe na wezi wa mali zauma, wanaibuka watu ambao tungetegemea wapogeze' wao wana ibuka na maneno ya kumvunja nguvu mpambanaji.

Umaskini wa African unasababishwa na watu kama hawa.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Mary chatanda Hana mvuto wowote kuanzia Sura, uongozi hadi ushawishi . Tofauti na enzi za Sofia simba (UWT)

Na kwa kauli zake na anavyowasilisha hoja zake unaona kabisa huyu hana uwezo wowote zaidi ya jina kumbeba .

Kauli ya kusema aliwatumia clips viongozi wenzake kina majaliwa inamaana ndani ya Chama kuna kundi linalompinga Makonda likiongozwa na Kassim majaliwa..
Makonda hafai kuwa kiongozi inawezekana kweli anakitu lakini hajui approach sahihi ya hicho alicho nacho
 
Wewe ndio una uelewa mdogo sana wa mambo tena very low reasoning level, kasema anamke mzuri akimlinganisha na nani? Mlengo wa kauli hiyo ni upi kama sio kumlinganisha yule dada na mke wake? Basi angesema ana kiatu kizuri au nyumba nzuri? Kwanini atumie mke ikiwa anaye ongea naye ni mwanamke pia? Ina maana kwa akili yako hiyo hiyo ndogo umeshindwa hata kufanya uchambuzi mdogo kabisa kwa jambo jepesi kama hili? Kweli hii nchi watu wenye akili wanaendelea kupungua sana vilaza ni wengi sana ndio maana miaka yote tupo pale pale

Tusi lipo wapi? Kuzidiwa uzuri?
 
Back
Top Bottom