zimwimtu
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 1,988
- 1,095
wala sio kwamba kuwa ccm ni jinai, la hasha! ila kuwa na kiongozi wa chuo ambaye ni kada wa chama tawla hakuna kitakachofanikiwa katika kuweka maslahi bora ya wanafunzi. wale wasio makada wa ccm walifnikisha mengi, mpaka leo vijana wanakula matunda yao.nyie kweli mmelishwa limbwata! kwa nini mnafikiri mtu kua ccm ni jinai? endeleeni kuropoka tu, ...mnafikiri kuendesha serikali ni sawa na kunywa mbege? kwani ccm wanapokwambieni 'mkiona vinaelea vimeundwa..' mnafikiri wanatania? hili la katiba mmeachwa kwenye mataa wacheni ubishi!
kama unakumbuka miaka ya 2005-2009 pale udsm, mabadiliko makubwa sana yalitokea pale,ikiwa inaongozwa na viongoz shupavu, wasiokubali kuhongwa na ccm. (mwita chacha, mtatiro, deo, bushi(josephat buhenyenge), silinde, owawa.........to mention few. lakin vijana wa leo hata wasipopata hela ya kujikimu hakuna anaeguna coz viongozi wao ni makada wa ccm. watu wameenda field bila hela, huku ccm wakitumia mabilion kwenye bunge la katiba huku wakijua akidi haitotimia na hivo kupelekea katiba kutopatikana, enzi zetu tungepachimba fasta.