kuhamasisha maandamano bila kkomo n kuharibu aman na usalama wa nchi!!..watanzania tusikurupuke bila kutafakar kw makin kaul znazotolewa na wanasiasa wetu!!...la sivyo nchi yetu itakuw haina tofaut na kinachoendelea libya misri na mifano yake!!! MAANDAMANO SIO NJIA SAHIHI YA KUDAI MASLAI KWA WANANCHI BALI NI KUKAA MEZA MOJA NA KUYAJADILI!!
Meza gani utakaa na akina sita na Komba? usifanye watu hawana akili! mijitu hii imekataa maoni ya wananchi halafu unasema kukaa mezani meza gani? msitufanye wananchi kama hatuna akili bwana,wengine tunaudhika kweli na ujinga unaofanywa ktk Nchi na watu kama wewe na akina komba. Mzee wa watu ametukanwa na akina Komba kisa kusema ukweli halfu unazungumzia kukaa mezani,mawazo ya kipumbavu