Umoja wa Ulaya wapiga marufuku ndege za Urusi

Hakuna anaye mchora. Unajua procedure za ndege kutua kwenye anga la nchi nyingine. Unaweza kuta wameomba watue Ila ndege ishikiliwe, maana Kuna abiria wa nchi ya Canada wamo humo
Canada hawezi kujiingiza katika mambo hayo. Take it from me.
 
Hamna kitu hapo. Ukiona BBC news zao za kujirudia rudia, hawana kipya tena hao CNN na BBC kwanza wamezuiliwa kufanya coverage ndani ya Kiev. Sasa hivi wanatunga tu habari.

Go Putin tupo nyuma yako watanzania wote.

Ipo tofauti kubwa baina ya mburumundu na watanzania. Zingatia.
 
Hamna kitu hapo. Ukiona BBC news zao za kujirudia rudia, hawana kipya tena hao CNN na BBC kwanza wamezuiliwa kufanya coverage ndani ya Kiev. Sasa hivi wanatunga tu habari.

Go Putin tupo nyuma yako watanzania wote.
Upo nyuma yake (umejificha?)au siyo kamanda😂😂😂
 
Hamna kitu hapo. Ukiona BBC news zao za kujirudia rudia, hawana kipya tena hao CNN na BBC kwanza wamezuiliwa kufanya coverage ndani ya Kiev. Sasa hivi wanatunga tu habari.

Go Putin tupo nyuma yako watanzania wote.
Labda wewe ndio upo nyuma yake 😄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom