MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Dunia imeichoka israel...na Ipo siku nao wataonja Joto la Jiwe. Subira yavuta heri
Yaani hawa jamaa wamekua na meng mabaya lakin hakuna wa kuwazungumzia
Dunia imeichoka israel...na Ipo siku nao wataonja Joto la Jiwe. Subira yavuta heri
Si kweli, Marekani ndio walikuwa wa kwanza kupigana na ISIS hata kabla ya ISIS kusambaa vizuri. Sisi siyo watoto, usitufanye toilet paper.
Hizi propaganda bwana, mtu anaingia chumbani kwake anaanza kuandika article za kufurahisha watu. Hivi tangu lini Israel ikawa defeated na Hezbollar? au ndio yale mambo ya wapalestina 1000 kuuawa halafu wayahudi 10 kuuawa lakini bado wapalestina wakaingia mitaani na kushangilia ushindi? Poleni inferiors
Wewe lzm uandike Upuuzi wa namna hii manake akili yako imeshaathirika na Mikojo ya wakoloni.
We mpaka leo 2014 mwafrika mwenye Makalio meusi. Mzawa wa hukuhuku kwa watu wetu weusi. Unaamini kabisa kuwa wewe ni myahudi. Sasa kipi Utafundishwa wewe ukakikubali?
Wewe na Huyo dada Kakende Mna ile kitu inaitwa "inferiority complex"!
Mkijicheki makalio meusiii yenye Upele kibao! Halafu mkiwatazama wayahudo naona duh... italavyokuwa na sisi hatuna budi Kujichomeka tu humo ili na sisi tuwe ktl taifa lililochaguliwa.
Mkisahahu kuwa ni hao hao mnaojinasabisha nao Ndio Waliompiga mkong'oto yesu mpaka Wakamuua msalabani.
Taifa la israel ni taifa la shetani,hata mungu wao wanaemwabudu ni shetani aliasi,akatupwa duniani na akaendeleza uasi kwa kutaka kujifanya yeye ni zaidi ya aliye juu kwa kuyageuza mafundisho ya mungu na kujifanya kwamba yeye ni simba wa vita,bwana wa majeshi,sasa waisrael wanafuata maamrisho ya jehova mungu wao,to deceive and to kill.
Okay, kumbe wewe mwenzetu ni mweupe?, nijuavyo mimi, watu weupe wanapendana wao kwa wao kuliko kumpenda mtu mweusi. Kwa taarifa yako Mwarabu anamthamini Mzungu au Muhindi kuliko mtu mweusi.
Kwa kuwa umeanza habari ya dini, basi nalog out, bye bye
Lazima wewe utakuwa mfuasi wa Jini Kiongozi. The
Wewe ndio mpumbavu kabisa. Israel ilisalimu amri mwaka 2006 kwa Hizbullah kutokana na vita vilivyodumu mwezi mmoja tu. Katika vita hivyo Israel ilipoteza elite comandos wengi sana. Kisha shughuli za kiuchumi zilisimama baada ya waisrael kulazimika kuishi kwenda mahandaki ambayo hayakuandaliwa vizuri kutokana na ughafla wa vita hivyo. Waziri mkuu wa wakati huo alilazimika kujiuzulu kwa kushindwa vita. Soma historia ndugu yangu. Usikurupuke tuu. Hii ndiyo aibu iliyoipata Israel kwa muongo wa kwanza wa karne ya 21. Unapoandika hapa jukwaani ujizatiti maana kimsingi hapa ni kwa intellectuals hatuendi kwa habari za mtaani. Research and speak.
Miaka 80
Ha ha ha,kwanini mkuu?,kumbe hujui jehova ndo yule ibilisi alietupwa duniani,ukifuatilia habari yake toka kitabu cha genesis two,utaona kabisa kuwa he was the devil,unakumbuka wakati moses na mkewe zipora wako wanasafiri wakafika nyumba ya wageni kupumzika,kumbe nyuma alikuwepo jehova eti anawafuatilia na kuvizia amwuue moses kisa hajatahiri mtoto,hivi kweli Mungu wa upendo unavizia kumuua nabii wako kweli kisa mtoto hajatahiriwa?.Lazima wewe utakuwa mfuasi wa Jini Kiongozi. The
Israel watu weusi wanaitwa black dogs hahaaaa taifa la mungu my foot
Ndiyo maana, jikumbushe: How Hezbollah Defeated Israel: I. Winning the Intelligence War : Conflicts Forum
Ni wewe ndio unajifanya TOILET PAPER bali unagopa tu kusema HUNA ELIMU ispokuwa umejaa kinyesi kichwani.
Wamarekani wameanza juzi Kujifanya Wanapambana na ISIS na mpaka sasa wanazidi KUONGEZEKA TU na Kuchukua maeneo mengi tu
Huna elimu na kibaya zaidi hauna hata hio akili ya kupokea material.
We subiri kufa tu ukatupwe unakostahili.
Kwanini waislam wanakua wepesi sana kutumika kwa matakwa ya wengine?
Leo ngoja nikupuuze