moondampwani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 535
- 170
mimi kuamini hizi habari mpaka zitoke kwenye vyanzo rasmi vya habari, maana siku hizi kuna watu wanakaa wanaanza kutunga article na kurusha kwenye mitandao. Quran inasema adui namba moja wa waarab ni myahudi, iweje leo kafir na mbarikiwa wasaidiane?
quran? Lete ushahidi