ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,222
- 50,947
Umoja wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki Afrika na Madagascar CECAM umepinga msimamo wa Papa wa kubariki Ndoa za Jinsia Moja.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na CECAM imesema Maaskofu wa Kiafrika hawatabariki Ndoa za Jinsia Moja kwa sababu ni kinyume na tamaduni za Afrika na Pina Ndoa hizo ni batili kisheria kwenye Nchi nyingi za Afrika.
Hatua hii inaweka ugumu kwenye msimamo wa Papa Francis wa kutaka kuleta reforms kwenye Kanisa Katoliki.
My Take
Ni muda muafala Sasa Kwa Waafrika kuwa na dini Yao yenye Maadili ya Kiafrika tofauti na hizo dini zenu za Wazungu na Waarabu.
View: https://twitter.com/africanews/status/1745847972116455496?t=J5C1guuRyHvW_M6Um4W6Bg&s=19

African Catholic Bishops Reject Vatican's Same-Sex Blessings
A December declaration by Pope Francis permits priests to offer non-liturgical blessings to same-sex couples
www.voanews.com