Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Viongozi wa CHADEMA walipokutana na Mh. Jakaya Kikwete leo
View attachment 42221
anacheka hapao mwenzako.sema mwanaume hasifiwi suraWassira mbona kanuna hivyo?!
wataje majina basdi unaweka weka tu?
kwanza huyo mwenye kofia ni nani?help please
Nipo tele:biggrin:oa:lol:Askari Kanzu upo? Asante kwa picha.
Mzee wa Gombe(Wassira) kachafua picha hiyooo
Wassira mbona kanuna hivyo?!
ulishwahi kuona dume la nyani linavyotembea, unamwonaje wasilla