lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,743
- 1,379
Africa mashariki ambayo zamani ilikuwa nchi tatu
Kenya
Tanzania
Uganda
Zilikuwa na umoja imara sana miaka ya sabini huko. Mpaka ikafikia Wakawa na mashirika ya pamoja yenye nguvu ambayo mwisho baada ya kugawanyika yakapotelea mbali.
Leo tuna umoja wa Africa mashariki unao jumuisha nchi zaidi ya tatu
Tanzania
Kenya
Uganda
South Sudan
Rwanda
Burundi
Lakini pamoja na hayo kuna sinto fahamu kati ya uganda na Rwanda
Pia yanayojadiliwa licha ya kuwa na Bunge la Africa mashariki naona kama hayana speed kama ilivyo kuwa miaka ya sabini kabla ya kuvunjika.
Je hii jumuia tangia ianzishwe imeleta faida gani kwa wananchi wa nchi husika waliopo kwenye umoja huo?
Yaani ni kitu gani ambacho unakipata ambacho ni faida ya umoja huu.
Shirika lipi la pamoja limeanzishwa kama nyakati za wazee wetu?
Je nini tunaweza kukipata toka kenya au rwanda au burundi au s sudani kwa kuwa katika umoja huu?.
Maana kama permit ya kuishi kenya au Uganda ni sawa tu na permit utakayopewa ukiishi zambia. Na kwa Watanzania ni rahisi sana kuishi au kusafiri kwenda Afrika ya kusini bila hata visa kuliko kwenda hapa kenya na uganda nk.
Mimi nahisi umoja huu hauna afya kabisa au afya yake ni ndogo sana.
Naomba maoni yako mdau ili nami nijifunze toka kwako.