karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,799
- 3,221
Ugaidi gani tenaTanzania ni kisiwa Cha amani illa Kuna viazi vichache vinataka kuvuruga amani yetu kwa ugaidi
Ugaidi gani tenaTanzania ni kisiwa Cha amani illa Kuna viazi vichache vinataka kuvuruga amani yetu kwa ugaidi
Tz ni mwanachama wa jumuiya za kimataifa kama SADC, AU, EAC, UN, COMMONWEALTH NK.Elezea kwa kina
Kwanini hao maagaidi wasidumu zaidi ya mwaka.
Tuaminije maneno yako kama sio mahaba kwa Tz
Kipindi hichi teknolojia imekuwa sana uwezekano wa magaidi kuitumia teknolojia kuishambulia Tz upo kwa maana kwamba tupo duni kiteknolojia ya kiulizi na kivita
Kwahiyo Tanzania ndiyo hakuna ugaidi?Kenya Kuna Alshabab
Tanzania kuna masalia ya kina HamzaKenya kitaumana muda si mrefu wakalenjini wanataka urais
Hata Uswisi kuna PGO sembuse Tz? Hata Saudi Arabia ilipo Macca kuna PGO pia. Vatican kuna PGO ambao ni Mapadre kabisaaa...Kuna utulivu wa kulazimishana na wazee wa PGO
Ushamfukuza jamviniWakiongozwa na Hamza(CCM)
umesahau kwamba Tanzania kuna UGAIDI na kesi ipo mahakama kuu inaendelea.Kufuatia mapigano ya Tigray ya TPLF na vikosi vya serikali kuelekea kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe wakati wowote kuanzia sasa, namshauri Rais Mstaafu Gen. Obasanjo ambaye ni mpatanishi wa mgogoro huo aishauri AU ihamishie Makao Makuu yake Tanzania kwa muda hadi pale amani itakaporejeshwa.
Imetufikirisha AU HOYEE
Mkuu,umesahau kwamba Tanzania kuna UGAIDI na kesi ipo mahakama kuu inaendelea.
Nimeupenda huu uzalendo..Kenya ina Al-shabaab, Uganda pia wameanza kuishambulia, Tz imedhibiti IS Kusini kama ilivyodhibiti Maimai na M23 wasivuke mpaka kuingia Tz. Kenya (kama ilivyo Uganda) imezungukwa na majirani walioko vitani e.g. Somalia, South Sudan, Ethiopia, kwa Uganda DR Congo, Rwanda nako hakujatulia sana kati yake na Uganda, Burundi moto umezima lakini bado majivu yanachoma.
Sifa za Tanzania ku-host AU:
1. Amani.
2. Miundombinu (nchi nzima inafikika kwa safari za anga, barabara, majini, reli (SGR 2 na MGR iliyokarabatiwa upya na kuongezewa excel), unawezatoka South Africa hadi Tz kwa reli.
3. Vivutio vya utalii (wageni wanapenda kuosha macho baada ya mikutano).
4. Shirika la ndege lenye ndege mpya za kisasa kubwa, wastani na ndogo.
5. Ukarimu wa wananchi.
6. Kumbi za kimataifa za mikutano Arusha, Dodoma na Dsm.
7. Iliwahi ku-host Kamati ya Ukombozi ya OAU.
8. Ina-host Mahakama ya UN ICTR.
9. Ina-host EAC.
10. Inatumia lugha 2 za Kiingereza na Kiswahili (zote ni lugha za AU).
11. Iliwahi ku-host Non Aligned Movement ambayo Mwl alijenga Hoteli ya 77 Arusha ku-accommodate Marais wa nchi 77 waliokuja kuchakata wazo la Kutofungamana na upande wowote wakati wa vita baridi ya dunia.
12. Ina vikosi imara vyenye hadhi ya kulinda amani duniani; vikosi vyenye ithibati (accreditation) za UN, SADC, AU, EAC, GLR.
13. Ina viwanja vya ndege vyenye uwezo wa kuwa hub kwa wanachama wa AU.
14. Anga yake ni salama kwasababu imefunga miundombinu ya rada 3 mpya zenye uwezo wa kuongoza safari za ndege za kwenda kwa majirani, e.g. ndege zote za kiraia zinazoingia na kutoka Kigali na Bujumbura zinaongozwa na rada za Tz kasoro za kijeshi tu. Anga ya Tz ni salama kwa asilimia 100.
15. Ina hoteli zenye hadhi ya viongozi wa kitaifa na kimataifa.
16. Haina lockdown.
17. Ina Hospitali zenye huduma za kibingwa (wanaweza kutibiwa Marais na wajumbe wa mkutano).
18. Ina fursa lukuki za uwekezaji, wajumbe-wanachama wanaweza kuvutiwa kushawishi raia wao waje wawekeze kwasababu miundombinu ya usafiri, maji, nishati, usalama, amani nk vipo Tz.
19. Kuna huduma za Kibenki za kimataifa.
20. Tz inaongoza Afrika kwa uwekezaji katika sekta ya Telecom. Mkongo wa mawasiliano ya kielektroniki ya kasi kubwa na gharama nafuu umesambaa nzi nzima kasoro mikoa miwili tu ikiwemo Simiyu (ambayo nayo tyr ilishafikiwa zamani wkt ilipokuwa bado ndani ya mkoa wa Shinyanga, baada ya kugawanywa ndiyo ikajikuta iko nje ya mkongo).
21. Iliwahi ku-host ziara za viongozi wa nchi kubwa duniani kama US, UK, China wakiwemo Makatibu Wakuu wa UN.
22. Whatnot?
Naunga mkono HOJA.....Kufuatia mapigano ya Tigray ya TPLF na vikosi vya serikali kuelekea kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe wakati wowote kuanzia sasa, namshauri Rais Mstaafu Gen. Obasanjo ambaye ni mpatanishi wa mgogoro huo aishauri AU ihamishie Makao Makuu yake Tanzania kwa muda hadi pale amani itakaporejeshwa.
😍AU ije Arusha, Geneva of Africa. Weather tu itawavutia kweli kweli, na utalii ndio usiseme. Amani tele Tz yetu. Alafu kuna nafasi ya kutosha.
Kenya sio salama, Ethiopia sio salama, Sudan sio salama, Misri sio salama, vifaru kila kona ya njia Misri, Libya sio salama, Congo sio salama, Somalia sio salama, S. Africa wabaguzi na civil unrest kubwa sana, CAR ni vita, Ivory Coast hakufai..
Tanzania is the ideal place to place AU HQ.
😍Kenya ina Al-shabaab, Uganda pia wameanza kuishambulia, Tz imedhibiti IS Kusini kama ilivyodhibiti Maimai na M23 wasivuke mpaka kuingia Tz. Kenya (kama ilivyo Uganda) imezungukwa na majirani walioko vitani e.g. Somalia, South Sudan, Ethiopia, kwa Uganda DR Congo, Rwanda nako hakujatulia sana kati yake na Uganda, Burundi moto umezima lakini bado majivu yanachoma.
Sifa za Tanzania ku-host AU:
1. Amani.
2. Miundombinu (nchi nzima inafikika kwa safari za anga, barabara, majini, reli (SGR 2 na MGR iliyokarabatiwa upya na kuongezewa excel), unawezatoka South Africa hadi Tz kwa reli.
3. Vivutio vya utalii (wageni wanapenda kuosha macho baada ya mikutano).
4. Shirika la ndege lenye ndege mpya za kisasa kubwa, wastani na ndogo.
5. Ukarimu wa wananchi.
6. Kumbi za kimataifa za mikutano Arusha, Dodoma na Dsm.
7. Iliwahi ku-host Kamati ya Ukombozi ya OAU.
8. Ina-host Mahakama ya UN ICTR.
9. Ina-host EAC.
10. Inatumia lugha 2 za Kiingereza na Kiswahili (zote ni lugha za AU).
11. Iliwahi ku-host Non Aligned Movement ambayo Mwl alijenga Hoteli ya 77 Arusha ku-accommodate Marais wa nchi 77 waliokuja kuchakata wazo la Kutofungamana na upande wowote wakati wa vita baridi ya dunia.
12. Ina vikosi imara vyenye hadhi ya kulinda amani duniani; vikosi vyenye ithibati (accreditation) za UN, SADC, AU, EAC, GLR.
13. Ina viwanja vya ndege vyenye uwezo wa kuwa hub kwa wanachama wa AU.
14. Anga yake ni salama kwasababu imefunga miundombinu ya rada 3 mpya zenye uwezo wa kuongoza safari za ndege za kwenda kwa majirani, e.g. ndege zote za kiraia zinazoingia na kutoka Kigali na Bujumbura zinaongozwa na rada za Tz kasoro za kijeshi tu. Anga ya Tz ni salama kwa asilimia 100.
15. Ina hoteli zenye hadhi ya viongozi wa kitaifa na kimataifa.
16. Haina lockdown.
17. Ina Hospitali zenye huduma za kibingwa (wanaweza kutibiwa Marais na wajumbe wa mkutano).
18. Ina fursa lukuki za uwekezaji, wajumbe-wanachama wanaweza kuvutiwa kushawishi raia wao waje wawekeze kwasababu miundombinu ya usafiri, maji, nishati, usalama, amani nk vipo Tz.
19. Kuna huduma za Kibenki za kimataifa.
20. Tz inaongoza Afrika kwa uwekezaji katika sekta ya Telecom. Mkongo wa mawasiliano ya kielektroniki ya kasi kubwa na gharama nafuu umesambaa nzi nzima kasoro mikoa miwili tu ikiwemo Simiyu (ambayo nayo tyr ilishafikiwa zamani wkt ilipokuwa bado ndani ya mkoa wa Shinyanga, baada ya kugawanywa ndiyo ikajikuta iko nje ya mkongo).
21. Iliwahi ku-host ziara za viongozi wa nchi kubwa duniani kama US, UK, China wakiwemo Makatibu Wakuu wa UN.
22. Whatnot?
😍Ni kweli na wakihamia dodoma pako poa sana.hawatosumbuliwa .
Kwanza Amani,
Pili inafikika kirahisi.
Tatu nchi ina jitisheleza kwa mahitaji yote.
Pinga pinga FC kazini.....Hapo sawa nimekupata
Amani wakati kuna kesi za kubambikia ugaidi zinaendelea huko?Unafikiri watu wakiamua kutafuta haki mitaani kutakalika?Kwani Tanzania kuna amani?
Hakika hakuwezi kamwe kukalika kabisaAmani wakati kuna kesi za kubambikia ugaidi zinaendelea huko?Unafikiri watu wakiamua kutafuta haki mitaani kutakalika?
Tulia sindano ikuingie ili dawa isambae vema maungoniWewe ni mlozi na mchawi dhidi ya UTULIVU WA TANZANIA eee?!!!
Unayoyaomba hebu nenda ukayashuhudie huko Ethiopia....