mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
Kama una akaunti bank ambayo inatumia ATMs za UMOJA switch usizitegemee kabisaaa ATMs za UMOJA switch kwani zinaweza kukuangusha ukaonekana mswahili, ukaonekana ni muongo, ukakosa dili kama lilikuwa linahitaji pesa ya haraka, ukabaki unaduwaa ukakosa pesa ya kutumia kwa muda huo!! Bora ningeweka pesa zangu chumbani au nikaweka kwenye benki za ATMs nyingine kama NMB au CRDB manake kote huko nina akaunti...!! NIMEJUUUUUTA
cc UsweKama una akaunti bank ambayo inatumia ATMs za UMOJA switch usizitegemee kabisaaa ATMs za UMOJA switch kwani zinaweza kukuangusha ukaonekana mswahili, ukaonekana ni muongo, ukakosa dili kama lilikuwa linahitaji pesa ya haraka, ukabaki unaduwaa ukakosa pesa ya kutumia kwa muda huo!! Bora ningeweka pesa zangu chumbani au nikaweka kwenye benki za ATMs nyingine kama NMB au CRDB manake kote huko nina akaunti...!! NIMEJUUUUUTA
kuhusu kumezwa ni uongo we nenda na kitambulisho chako kwenye branch inayohusika na ATM hiyo na utapewa Card tatizo huna information unapotosha watu!NI KWELI UMOJA ATMs NI VERY UNRELIABLE HASA KWA SIKU ZA JUMAMOSI NA JUMAPILI ZILIZO NYINGI HASA ZILIZO KWENYE MAENEO BUSY UWEZEKANO WA KUTOKA KAPA NI 100%.JINGINE USIOMBE KADI YAKO IKAMEZWA KWENYE ATM YA BENKI TOFAUTI PROCESS YA KUIPATA NI NDEFU.
kuhusu kumezwa ni uongo we nenda na kitambulisho chako kwenye branch inayohusika na ATM hiyo na utapewa Card tatizo huna information unapotosha watu!
halafu acheni kulala umepewa tena option ya kudraw kwa kutumia simu bado tena ushindwe kuaccess hela zako?
sasa umoja Swith na Vodacom Mpesa wapi na wapi?mkuu akili zako sijui zinafikiri vipi ni kuona tunaolalamika ni wajinga, kama network kwenye atms zimezingua unafikiri unaweza toa pesa kwa mpesa??? hapa nilipo nina laki na nusu nilitoa kwa mpesa hazijatoka na balance wamekata! hawa Umoja switch ni majanga majanga!!
kuhusu kumezwa ni uongo we nenda na kitambulisho chako kwenye branch inayohusika na ATM hiyo na utapewa Card tatizo huna information unapotosha watu!
halafu acheni kulala umepewa tena option ya kudraw kwa kutumia simu bado tena ushindwe kuaccess hela zako?
sasa umoja Swith na Vodacom Mpesa wapi na wapi?
huko kwenye visa card/ master card nipo sababu nina kaunti crdb, si unajua unapokuwa unabembeleza mkopo kwa hizi benk ndogo inabidi uweke pesa kwao mfululizo kwa angalau kwa miezi miwili. Ndio hivyo tena balansi ya crdb nikaisomesha zero, kumbe ningebakisha vijisent kidogo kwa ajaili ya back up.Wachana na umoja switch... kuja kwenye VISA kadi!!!
nilimaanisha akili yako umeweka kwenye droo maana umeelewa sema tu huhitaji msaada!mkuu uliposema kudraw kutumia simu ulikuwa unamaanisha nini, kama vitu huvielewi kaa kimya.
nilimaanisha akili yako umeweka kwenye droo maana umeelewa sema tu huhitaji msaada!
My take is call au tembelea tawi lako then toa tarifaa ya pesa zako ambazo hazijaiingia kwenye account yako ya Mpesa ilihali kwenye account yako ya bank imetoka! wao wanaweza kuwasiliana na service provider wako(voda) na ukapata hela yako haraka.
kuhusu kumezwa ni uongo we nenda na kitambulisho chako kwenye branch inayohusika na ATM hiyo na utapewa Card tatizo huna information unapotosha watu!
halafu acheni kulala umepewa tena option ya kudraw kwa kutumia simu bado tena ushindwe kuaccess hela zako?
kweli we ni HKLwatu wengine humu jf mnatia kichefu-chefu, tatizo ni kujifanya unajua saana kumbe hujui kitu. card less/ kutoa kwa simu yote haya nayajua, tatizo ni network za Umoja Switch ni mbovu . sasa ni msaada gani unaotaka kunipa???!! Hata la kutoa taarifa unafikiri silijui?! service provider wangu sio voda, ukiwa na pesa kwenye bank unaweza kutuma kwa simu hata kwa laini isiyo ya voda, ila utaitoa kwa huduma ya mpesa.
kweli we ni HKL
Yes Maaam................you don't deserve more qouets of mine little lady
Wachana na umoja switch... kuja kwenye VISA kadi!!!
Usifanye hivyo charminglady, UmojaSwitch iko vizuri sana sasa hivi, uptime ni zaidi ya 99%, usipopata pesa katika ATM yeyote ya umoja piga simu iliyopo katika ATM au 0787-730813 yangu
We sema una nia ya lkunipa namba yako tu... Haya yangu hii hapa.... 0714197700