GE2025 Ummy Mwalimu: Wajibu wetu ni kuheshimu taratibu za Chama, tumuunge mkono Kassim Amar Mbaraka na Rais Samia

GE2025 Ummy Mwalimu: Wajibu wetu ni kuheshimu taratibu za Chama, tumuunge mkono Kassim Amar Mbaraka na Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Baada ya Ummy Mwalimu baada ya Jina lake kukatwa kwe Ubunge Tanga Mjini, amesema ni wakati wa kumuunga Mkono Kassim Amar Mbaraka (Makubel) na kumpa kura za ndio Rais Samia

Labda atapata kwenye teuzi.. .ila kuna sehemu alijichanganya.. ..
 
Odo Ummy acha uoga, kwanza chama lenyewe lishabomoka.
 
Back
Top Bottom