Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,188
- 9,165
Nimesima kwa jicho la tatu na kuona ni kama kushtaki kwa wananchi badala ya kushukuru. Umeandika siyo kwa unyenyekevu au kukubali maamuzi ya kamati kuu na hiyo ni ishara isiyo nzuri Tambua kuwa Mamlaka yako ni katibu mkuu wa CCM na ndiye mdhamini wako mkuu mbele ya wananchi ambao unawashukuru. Mamlaka husika ni kubwa zaidi ndiyo maana imeona iteue mwingine badala yako na watia Nia wengine. Ni vema sasa na Unatakiwa kuonyesha ukomavu kisiasa kwa kuiandikia mamlaka hiyo na siyo kuja mitandao ni. Huu ni ushauri wangu binafsi baada ya kusoma barua yako nakuona umekosea sana na ni vema radhi itangulie kisha na kurejea kuandika tena.