Ummy Mwalimu kwanini ujenzi wa barabara ya Tanga kuanzia Mwangombe hadi Pangani hauanzi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Uliwatangazia wakazi wa Jiji la Tanga kuwa mkandarasi amepewa bilioni 15 kumalizia barabara. Mbona Mkandarasi sasa hayupo site?
 
Sahv ukipita kwenye ujenzi mwingi wakandarasi hawako site,
Sana sana wamewaletea tu wananchi foleni zisizo kuwa na kichwa wala mguu

Ova
 
Uliwatangazia wakazi wa Jiji la Tanga kuwa mkandarasi amepewa bilioni 15 kumalizia barabara. Mbona Mkandarasi sasa hayupo site?
Mlidanganywaaaa kwenye amsha amsha.....ya ziara ya usanii....subiri mdanganywe tena....karibia uchaguzii...hakuna pesa hizo usidanganywe
 
Kwenye ziara wanawapelekea wasanii wakata mauno,wananchi hapo wanaserebuka wanasahau kila kitu 😄

Wanapigwa sound mwa mwe....then wanaondoka zao kuwaacha umasikini wao...Tanga ilikuwa u chawa mtupu na uongo uliopitilizaaaa....
 
Back
Top Bottom