goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 806
- 890
Mjinga mmoja tu uyo Ummy
Waweke posho ya mazingira magumu..kwa wafanyakazi wa wilayani na vijijini..kila mtu ataenda huko.Ummy ka wizara ingebidi walimu wa vijijini na mazingira magumu wawe wanalipwa mshahara mkubwa kuliko wa mjini hii ita wa motivate watu kukimbia vijijini, pia Bora kupangia walimu wanaotokea hayo maeneo husika ka ni Mara basi wapangiwe wenyeji wa huo mkoa kufanya kazi hii itapunguza kuhama hama.
Ummy Bora aje na wazo la posho kwa watumishi wa vijijini utashangaa uhaba utakata
Angeanza na wabunge..hakuna kutoka majimboni kwako zaidi ya kwenda bungeni na kurudi majimboni kwao..huyu mwanamke naona ameanza kupandisha mabega juu..yani anapangia watumishi kuhama.Nani asiyependa kukaa mjini? Mjini kuzuri wewe, unacheza na Kijijini au unasikia tu?
Viongozi wote ukianzia wabunge na hata mawaziri wanakaa mjini
Hyo ya kupeleka wazawa itasaidia Kuna vijiji ni wachawi wanaloga watumishi tu Sasa nani akae huko, mkoa ka wa Arusha una walimu wengi wenyeji na jirani ya mikoa ya kaskazini so hapo inakuwa ngumu watu kuhama na shule Zina walimu wa kutosha tofauti na mtu hajawahi iishi kigoma huko mpakani na ni mgeni utegemee asihame hyo sehemu dhubutu yake.Waweke posho ya mazingira magumu..kwa wafanyakazi wa wilayani na vijijini..kila mtu ataenda huko.
Si ungi mkono hoja ya wenyeji wa mkoa flani waajiriwe eneo hilo..hii italeta ukanda na ukabila..mana pia kuna maeneo hayana wasomi wakutosha mathalani mikoa ya pwani na kusini..watakosa wataalamu kwakua wenyeji wa huko hawadhamini elimu.
#MaendeleoHayanaChama
Ndo kupeans hiyo connection jomba.Jafo aliwahi kusema, lakini wadau walihama sembuse ummy?
Bei elekezi tamisemi ya uhamisho inajulikana hasa kwa kada za chini.