Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Waziri Unashangaza sana Mambo yote yanayokutesa Yapo ndani ya UWEZO WAKOWaziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema wizara ya Tamisemi inamtesa na kumnyima usingizi kwa mambo mawili.
La kwanza ni wimbi la watumishi kuhama kutoka vijijini kwenda kwenye majiji na manispaa.
Watumishi wengi sasa hawataki kufanya kazi vijijini hali hii imepelekea wananchi wa vijijini kukosa huduma.
La pili ni uzalishwaji wa madeni ya wazabuni bila utaratibu na madiwani kukaa kimya hadi madeni hayo yanakuwa makubwa na kuwa mzigo mkubwa kwa serikali.
=========
Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Ummy Mwalimu leo Ijumaa Oktoba 28, 2021 ametaja mambo makubwa mawili ambayo amesema yanamkera akiwa kwenye nafasi yake ndani ya Wizara hiyo, akisema hawezi kuyavulimia yaendelee.
Miongoni mwa mambo hayo ni uhamisho wa watumishi walio chini ya ofisi ya Tamisemi ambao wanaomba kuhama kutoka halmashauri za vijijini na kukimbilia kwenye majiji na manispaa ambao amesitisha hadi atakapotangaza tena.
Amesema uhamisho kwa watumishi wanaoomba kuhama kutoka halmashauri za majiji kwenda wilayani au maeneo mengine ya vijijini, agizo hilo haliwahusu bali wao wanaweza kuhamishwa.
Waziri Ummy amemuagiza Katibu Mkuu Tamisemi, Profesa Riziki Shemdoe kuwa “Kuanzia leo ni marufuku na sitaki kusikia kuhusu uhamisho wa mtu kutoka vijijini kwenda mjini hasa katika majiji na manispaa, ila kama wanatoka huko kwenda halmashauri za vijiji waharakashiwe uhamisho wao ili waende.
Waziri Ummy ametaja jambo la pili linalomchukiza kuwa ni madeni ya wazabuni ambayo huzalishwa bila mpangilio.
“Utakuta halmashauri inatoa tenda ya kujenga kitu fulani na wakati huo huo inashindwa kumlipa mzabuni na kufanya deni liendelee kukua, hivi mkurugenzi na baraza la madiwani hamlioni hilo, yani inanikera hasa,” amesema Ummy.
Amebainisha kuwa mambo hayo yanamkera na kumnyima usingizi ndani ya Tamisemi lakini anaendelea kupambana nayo siku hadi siku akiamini wenzake watamuelewa.
Katka taarifa yake Waziri amezungumzia changamoto ya ucheleweshaji wa taarifa za Tamisemi kwamba kunatokana na mfumo lakini kwa baadhi ya maeneo inachangiwa na uzembe wa baadhi ya watumishi.
Ametoa agizo kwa vikao vya mabaraza ya madiwani kutoketi badala yake watakuwa wanangoja taarifa ya Tamisemi ndipo watakutana kwa ajili ya kujadili pamoja na mambo mengine taarifa za Wizara na kujilinganisha na wenzao wengine.
Mwananchi
Ingependeza kama ofisi zote za serikali zingeamia vijijini mfano ofisi ya Tamisemi ihamie kijijini kabisa huko mbona vijiji vingeendelea haraka sanaWaziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema wizara ya Tamisemi inamtesa na kumnyima usingizi kwa mambo mawili.
La kwanza ni wimbi la watumishi kuhama kutoka vijijini kwenda kwenye majiji na manispaa.
Watumishi wengi sasa hawataki kufanya kazi vijijini hali hii imepelekea wananchi wa vijijini kukosa huduma.
La pili ni uzalishwaji wa madeni ya wazabuni bila utaratibu na madiwani kukaa kimya hadi madeni hayo yanakuwa makubwa na kuwa mzigo mkubwa kwa serikali.
=========
Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Ummy Mwalimu leo Ijumaa Oktoba 28, 2021 ametaja mambo makubwa mawili ambayo amesema yanamkera akiwa kwenye nafasi yake ndani ya Wizara hiyo, akisema hawezi kuyavulimia yaendelee.
Miongoni mwa mambo hayo ni uhamisho wa watumishi walio chini ya ofisi ya Tamisemi ambao wanaomba kuhama kutoka halmashauri za vijijini na kukimbilia kwenye majiji na manispaa ambao amesitisha hadi atakapotangaza tena.
Amesema uhamisho kwa watumishi wanaoomba kuhama kutoka halmashauri za majiji kwenda wilayani au maeneo mengine ya vijijini, agizo hilo haliwahusu bali wao wanaweza kuhamishwa.
Waziri Ummy amemuagiza Katibu Mkuu Tamisemi, Profesa Riziki Shemdoe kuwa “Kuanzia leo ni marufuku na sitaki kusikia kuhusu uhamisho wa mtu kutoka vijijini kwenda mjini hasa katika majiji na manispaa, ila kama wanatoka huko kwenda halmashauri za vijiji waharakashiwe uhamisho wao ili waende.
Waziri Ummy ametaja jambo la pili linalomchukiza kuwa ni madeni ya wazabuni ambayo huzalishwa bila mpangilio.
“Utakuta halmashauri inatoa tenda ya kujenga kitu fulani na wakati huo huo inashindwa kumlipa mzabuni na kufanya deni liendelee kukua, hivi mkurugenzi na baraza la madiwani hamlioni hilo, yani inanikera hasa,” amesema Ummy.
Amebainisha kuwa mambo hayo yanamkera na kumnyima usingizi ndani ya Tamisemi lakini anaendelea kupambana nayo siku hadi siku akiamini wenzake watamuelewa.
Katka taarifa yake Waziri amezungumzia changamoto ya ucheleweshaji wa taarifa za Tamisemi kwamba kunatokana na mfumo lakini kwa baadhi ya maeneo inachangiwa na uzembe wa baadhi ya watumishi.
Ametoa agizo kwa vikao vya mabaraza ya madiwani kutoketi badala yake watakuwa wanangoja taarifa ya Tamisemi ndipo watakutana kwa ajili ya kujadili pamoja na mambo mengine taarifa za Wizara na kujilinganisha na wenzao wengine.
Mwananchi
Wewe ndo umenena ukweli! Watoto wa maskin ndioInafikirisha sana, hao watumishi wanaojaa mijini ni aidha watoto wa wakubwa, wake zao, wana familia na pia wale wanaotoa miili yao (wakike) kwa wakubwa. Wasiokuwa na connection ndio hupangiwa vijijini.
Ajitokeze mtu hapa ambaye amekwisha muona mtoto wa mkubwa yeyote ambaye Ni mtumishi wa serikali wa kada yoyote aliyewahi kupangiwa kijijini.
Ummy mwenyewe ataje mtu wa familia yake anayefanya kazi kijijini.
Watoto wa masikini wanaendelea kuonewa tu.
Ye mwenyewe tumhamishie ofisi dsm tumpelekee kijijini kama atakaaa...unampeleka mwaliu aliyekulia na kusomea mjini kijijini hakuna hata maji Wala umeme halafu unataka akae...Big noooo..endelezeni kwanza vituo vya kazi vya vijijini kisha ndio mlalamikeKumbe ata yeye kuna mda hanakuwa mvivu wakufikiri kiasi hiki!?
Kwann watumishi wanahama kutoka vijijini kuja kwenye mijini?
Kama wasipo hama jua wapo watakao acha kazi. Mazingira ya vijijini sio rafiki kwa watumishi wengi hasa wa kike ili jambo liangaliwe lasi hvyo wataangaika kumtafta mchawi wakati wanamfunga wenyewe
Bora huo umeme usiwepo ila mazingira yawe ya kuvutia na salama kwa watumishi. Unakuta shule ina walimu 4 tu wanalazimika kufundisha kuanzia darasa la 1-7 pasipo kumis vipindi hapo inamaana mwalimu hapati mda wa kupumzika kukagua maendeleo ya wanafunzi wake, nyumba hamna inamlazima mwalimu aishi kijiji cha pili au cha 3 toka eneo la kaz, usafiri shida, shule haina miundombinu wezeshi kwa hao walimu(choo, vifaa vya kufundishia, nk) na bado alipwa sawa na mtu alieko mjini kwann na yeye asiombe uamisho ata kwa kuonga pesa? Hapo ni walimu njoo kwa watendaji sasa ndio shida unatakiwa usimamie ulinzi na usalama kwenye eneo lako pasipo backup ya polisi unakuta kituo cha polisi kipo more than 10km toka kijiji ulichopangiwa na unatakiwa uzuie magendo hiv hapo unazania nitafanya kaz kwa aman kweli?Ye mwenyewe tumhamishie ofisi dsm tumpelekee kijijini kama atakaaa...unampeleka mwaliu aliyekulia na kusomea mjini kijijini hakuna hata maji Wala umeme halafu unataka akae...Big noooo..endelezeni kwanza vituo vya kazi vya vijijini kisha ndio mlalamike
Aliyekutuma uwe msemaji wa watumishi wa vijijini ni nani?Bora huo umeme usiwepo ila mazingira yawe ya kuvutia na salama kwa watumishi. Unakuta shule ina walimu 4 tu wanalazimika kufundisha kuanzia darasa la 1-7 pasipo kumis vipindi hapo inamaana mwalimu hapati mda wa kupumzika kukagua maendeleo ya wanafunzi wake, nyumba hamna inamlazima mwalimu aishi kijiji cha pili au cha 3 toka eneo la kaz, usafiri shida, shule haina miundombinu wezeshi kwa hao walimu(choo, vifaa vya kufundishia, nk) na bado alipwa sawa na mtu alieko mjini kwann na yeye asiombe uamisho ata kwa kuonga pesa? Hapo ni walimu njoo kwa watendaji sasa ndio shida unatakiwa usimamie ulinzi na usalama kwenye eneo lako pasipo backup ya polisi unakuta kituo cha polisi kipo more than 10km toka kijiji ulichopangiwa na unatakiwa uzuie magendo hiv hapo unazania nitafanya kaz kwa aman kweli?
Hao watu strategic nchi hii ni kama vile hawapo!. Wizara ni pana sana na yenye majukumu mengi.Ummy Mwalimu anapwaya kama waziri sio wa TAMISEMI tu bali hata alipokuwa Wizara ya Afya!! Jiwe kabla hajafa alisha muwashia taa nyekundu; kwani asingetwaliwa saa hizi huo uwaziri angeusikia kwenye TBC
Alikuwa na Samia Tanga pale mwendazake alipotwaliwa hivyo wakawa karibu sana wakati wa purukushani ya ile transition, hivyo Samia alipoapishwa ilimbidi amlipe fadhila kwa kumpa uWaziri wa TAMISEMI
Hiyo ni Wizara strategic inahitaji mtu mathubuti na sio mtu wa longolongo , hivyo kuna umuhimu kwa kufikiria upya nani atamsaidia Rais kwenye Wizara hii. Time is the essence ,muda sio rafiki.
Hao watu strategic nchi hii ni kama vile hawapo!. Wizara ni pana sana na yenye majukumu mengi.
Ummy Mwalimu anapwaya kama waziri sio wa TAMISEMI tu bali hata alipokuwa Wizara ya Afya!! Jiwe kabla hajafa alisha muwashia taa nyekundu; kwani asingetwaliwa saa hizi huo uwaziri angeusikia kwenye TBC
Alikuwa na Samia Tanga pale mwendazake alipotwaliwa hivyo wakawa karibu sana wakati wa purukushani ya ile transition, hivyo Samia alipoapishwa ilimbidi amlipe fadhila kwa kumpa uWaziri wa TAMISEMI
Hiyo ni Wizara strategic inahitaji mtu mathubuti na sio mtu wa longolongo , hivyo kuna umuhimu kwa kufikiria upya nani atamsaidia Rais kwenye Wizara hii. Time is the essence ,muda sio rafiki.
Mbona bajeti ni ya maujenziujenzi tu? mambo ya manpower recruitment na improvement hakuna? mambo ya ubunifu hakuna?
Humu jf kuna watu waongo mmoja wapo ni wewe
Na ww aliekutuma uulize yasiyokuhusu ni nani? Mm nimesema vitu ambavyo niliishawa kuviexperience sio kila kitu unakuja na maswali ya kipumbavuAliyekutuma uwe msemaji wa watumishi wa vijijini ni nani?
Pumbavu ni wewe usiyetaka watumishi wa vijijini wapate hudumANa ww aliekutuma uulize yasiyokuhusu ni nani? Mm nimesema vitu ambavyo niliishawa kuviexperience sio kila kitu unakuja na maswali ya kipumbavu
Ukiona mtu apendi ukwel usemwe jua ni shetani.
Wap unaona nimetaka au nimezui watumishi wa vijijini wasipate huduma? Uwe unasoma.kwa makini kabla ya kujibu kituPumbavu ni wewe usiyetaka watumishi wa vijijini wapate hudumA
Pumbavu ni wewe usiyetaka watumishi wa vijijini wapate hudumA
Kumbe ata yeye kuna mda hanakuwa mvivu wakufikiri kiasi hiki!?
Kwann watumishi wanahama kutoka vijijini kuja kwenye mijini?
Kama wasipo hama jua wapo watakao acha kazi. Mazingira ya vijijini sio rafiki kwa watumishi wengi hasa wa kike ili jambo liangaliwe lasi hvyo wataangaika kumtafta mchawi wakati wanamfunga wenyewe
Wapi hapo unaona nimezui au kutaka watumishi wa vijijini wasipate huduma?Bora huo umeme usiwepo ila mazingira yawe ya kuvutia na salama kwa watumishi. Unakuta shule ina walimu 4 tu wanalazimika kufundisha kuanzia darasa la 1-7 pasipo kumis vipindi hapo inamaana mwalimu hapati mda wa kupumzika kukagua maendeleo ya wanafunzi wake, nyumba hamna inamlazima mwalimu aishi kijiji cha pili au cha 3 toka eneo la kaz, usafiri shida, shule haina miundombinu wezeshi kwa hao walimu(choo, vifaa vya kufundishia, nk) na bado alipwa sawa na mtu alieko mjini kwann na yeye asiombe uamisho ata kwa kuonga pesa? Hapo ni walimu njoo kwa watendaji sasa ndio shida unatakiwa usimamie ulinzi na usalama kwenye eneo lako pasipo backup ya polisi unakuta kituo cha polisi kipo more than 10km toka kijiji ulichopangiwa na unatakiwa uzuie magendo hiv hapo unazania nitafanya kaz kwa aman kweli?