Tena waganga njaa.Madaktari sasa wanaitwa waganga?
Mimi nilidhani Daktari ni kiswangilishi, na Mganga au tabibu nicho kiswahili sahihi kumbe sio. Dar kiswahili bwana kigumu ingawa lugha yetu, kumbe tunaposema mganga mkuu, tunakosea sahihi Daktari mkuu. Maana bila waganga hakuna mganga mkuu, ila Kuna madaktari, na Daktari mkuu, ila umenipa elimu nimegundua ni vizuri kutumia neno Daktari kuliko mganga. Hili neno mganga lina ukakasi.Madaktari sasa wanaitwa waganga?