Ummy aligoma kumuinamia Malikia!

Ummy aligoma kumuinamia Malikia!

Ummy amekatwa kwa kukataa kumuinamia Malikia . Mama alijua Ummy hamuheshimu kama kiongozi ndani yake kama ilivyokuwa kwa Magufuli. Tatizo lake halikuwa utendaji bali ni kisasi
Bifu za jinsia hizo
 
Ummy amekatwa kwa kukataa kumuinamia Malikia . Mama alijua Ummy hamuheshimu kama kiongozi ndani yake kama ilivyokuwa kwa Magufuli. Tatizo lake halikuwa utendaji bali ni kisasi
Mambo yale ya ule mnanii wa kike ni tatizo kwa kwa jinsia ile!, usikute ile story ya kafulagi kuhusu pyjamas is a true story!, hata kile ki fulistopu nacho ni weka kando, tupa kule!.

Nilisimuliwa kuna mtu alipigwa chini kwasababu alipiga picha na kiongozi fulani, bosi akammaind na kumpiga chini !. Sisi watu wa ushauri wa bure, tukashauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?

Ila kiukweli Ummy Mwalimu, mimi namkubali kichizi!. #COVID19 - Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.
P
 
Ummy amekatwa kwa kukataa kumuinamia Malikia . Mama alijua Ummy hamuheshimu kama kiongozi ndani yake kama ilivyokuwa kwa Magufuli. Tatizo lake halikuwa utendaji bali ni kisasi
Hayo ni maneno yenu
 
Alikataa kusagwa
 
Back
Top Bottom