Umhimu wa kuhakiki mali za viongozi

Umhimu wa kuhakiki mali za viongozi

kakapeter

Member
Joined
Oct 30, 2009
Posts
36
Reaction score
10
Ndugu zangu emu nisaidieni hili,ni miaka mingi sana nimesikia kuna uhakiki wa mali za viongozi nchini ila sijawahi sikia hatua zimechukuliwa dhidi kiongozi ya kiongozi.Najua hili zoezi linatucost pesa bila shaka nyingi na mwisho wa siku halitunuifaishi kwa lolote bila shaka kwa sababu ya mfumo wa kulindana uliowekwa na Serikali yangu?Je,tunasababu yoyote ya msingi kuendelea kuunda sekretarieti kufanya hili zoezi?Tumebuni mbinu mpya za kufahamu mali halisi za hawa viongozi au tunaishia kwenda sebuleni kwao tu kuangalia wana TV ya nchi ngapi na sofa za bei gani? MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom