Umezaliwa Mwezi Gani??

Kumbe mie ni mjasiri na mkorofi?

Ndo nimejua leo.

Leo pia nimejua kuwa The secretary ana mvuto wa mapenzi.:A S-rose:
 
Last edited by a moderator:
he he.. Asprin... FirstLady1...eti ni kweli sisi tupo hivyo....kama huyu jamaa anavyosema.....?
Kumbe Preta na wewe ni mjasiri eh? Ila wanatuonea eti wakorofi, yaani mtu akupe za uso we ukimpa za pua unaitwa mkorofi.... shenzy sana.
FirstLady1 popote ulipo, njoo jibu swali la mjasiri mwenzangu.
 
khaa....mi sijui watu wakoje....eti wakorofi....mtu alete unazi nisimng'oe ngogwe si ntakuwa nimelogwa.....
 
Last edited by a moderator:
khaa....mi sijui watu wakoje....eti wakorofi....mtu alete unazi nisimng'oe ngogwe si ntakuwa nimelogwa.....
Thats my darlie Sis Preta!!! And Thats Why I love JANUARY!! Ukimwaga mboga, siye twamwaga ugali mpaka kieleweke. Ukorofi uko wapi hapo? Sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao>>> TUNAPIGA!
 
Last edited by a moderator:
Thats my darlie Sis Preta!!! And Thats Why I love JANUARY!! Ukimwaga mboga, siye twamwaga ugali mpaka kieleweke. Ukorofi uko wapi hapo? Sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao>>> TUNAPIGA!

JANUARY is there to stay...kwani nini bana.....
 
Last edited by a moderator:
mh mtoa mada kadanganya bana xmas tunaadhisha siku ya bosi wetu usituzingue shindwa kabisa wewe heh
 
najaribu kusoma Nyota
 
he he.. Asprin... FirstLady1...eti ni kweli sisi tupo hivyo....kama huyu jamaa anavyosema.....?

hahaha huyu Jamaa anajaribu kusoma nyota zetu ...kadanganya
Babu Asprin nina mashaka kidogo sio mkorofi na ila ni mjasiri ... Preta na mie kila nikiunganisha Dot zinakataa ..

Ukorofi upi unazungumziwa ?
 
Last edited by a moderator:
sisi huwa hatuna maneno na watu....watu ndo huwa wanataka maneno na sisi....

hahaha yaani naona kagong mule mule...lol ukikutana na mimi uache ukorofi eeehh
Mwenzio nna bahati ya peni.....................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…