Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
hahaaaa ur kind am sexiest
Haya sexy lady :sly:
hahaaaa ur kind am sexiest
Umezaliwa liniiiiii?
Naogopa kuna watu wanajua kunusa sana, nikitaja wanaweza stukia.wewe lini mwenzetu?
hahaaaaa jedwali linasema kweli, we june unafanana nayo kabisaaaaa hata ukatae
mi nimezaliwa july my!
![]()
dadeki , hamna nayesema june.........
nipo june.
ok nimeamini kama umezaliwa july!! so nawewe uko hivyo hivyo (sexiest)kama maelezo ya waliozaliwa july yalivyo?hahaaaaa kweli sidanganyi my!
atleasty wewe umesema kweli wengi hapa najua watasingizia wamezaliwa julyAugust but am not sure kama mie ni romantic
August but am not sure kama mie ni romantic