Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
sasa mkuu,mtumbuaji anapokuwa mtumbuliwa we unapata picha gani?ccm wakipoteza umeya maanake ile sifa ya magufuli na serikali kama watumbuaji itahamia ukawa,ambao kwa dar wana majipu mengi ya kutumbuaKumbe wamefanya ufisadi mkubwa namna hii! Watumbuliwe mara moja.
Naona hii ccm ni sawa na kuku hasiye chelewa kusahauCCM imeenda tena mahakamani kuomba mahakama iruhusu wajumbe wake waruhusiwe kupiga kura ya kumchagua Meya wa Jiji.Wajumbe hao ni wale waliopigwa marufuku na msimamizi wa uchaguzi
TAWA said:Wanaogopa kuumbuka
Ccm wako tayari kwa lolote ili mradi upinzani usichukue hicho kiti cha umeya wa dsm maana bado wana muhitaji sana jkJamani huu Umeya imekuwa mchezo wa kuigiza? Kila kukicha umeya tukiamka umeya! Mwishowe naona sasa waziri wa Serikali za Mitaa ambaye ni Rais anaweza kuamua kutumia rungu kama alilotumia Sumaye miaka ileee tukaona Tume ya Keenja!
Dar ndio moyo wa nchi, haiwezi kukaa miezi mingi hivi bila Meya. Tusubiri tu Tume
sasa mkuu,mtumbuaji anapokuwa mtumbuliwa we unapata picha gani?ccm wakipoteza umeya maanake ile sifa ya magufuli na serikali kama watumbuaji itahamia ukawa,ambao kwa dar wana majipu mengi ya kutumbua
Angalau umewaona hao jamaa zako wanavyo tapa tapaCCM waache sarakasi ni dhahiri umeya sio wao
Je kuna miujiza gani itafanyika ili 76>87 kama figures ambazo mdau kasema ndiyo idadi ya Wajumbe kwa kila upande?bora amani ya moyo kuliko heshima!ccm na magufuli wanaogopa kushindwa kwani umeya ukienda ukawa,ccm watakosa mengi!pesa na pia maovu yao mengi yatakuwa uchi,halafu si unajua ukawa wanavyo jua kupiga domo...makonda na magufuli watakuwa on defensive kutetea madudu ya uda,dart na uchafu mwengine
Mkuu nieleweshe wakileta tume hawa madiwani watakua wapi na wanafanya nini sielewi tuJamani huu Umeya imekuwa mchezo wa kuigiza? Kila kukicha umeya tukiamka umeya! Mwishowe naona sasa waziri wa Serikali za Mitaa ambaye ni Rais anaweza kuamua kutumia rungu kama alilotumia Sumaye miaka ileee tukaona Tume ya Keenja!
Dar ndio moyo wa nchi, haiwezi kukaa miezi mingi hivi bila Meya. Tusubiri tu Tume
hivi unaweza kumtenganisha kobe na gamba lake?Namuamini sana mh.Rais ukiachana na chama chake, lakini akishindwa kutenda haki kwenye umeya wa Dar es salaam imani yangu kwake itapungua sana!
miujiza hakuna,na ndio maana ccm wameenda kudeka mahakamaniJe kuna miujiza gani itafanyika ili 76>87 kama figures ambazo mdau kasema ndiyo idadi ya Wajumbe kwa kila upande?
Nashangaa sana magufuli kukaa kimya wakati akijinadi kwamba ni mtoa haki na tuzidi kumuombea.sasavtutamuombeaje mtu ambaye hataki kuwajibika?UKAWA tunaposema hakuna mabadiliko ya kweli ndani ya ccm manyumbu ya lumumba yanakuja juu.Hili la umeya Dsm, CCM ikubali kushindwa ikajipange upya kwa 2020. Sijui nayo Dar ni Zanzibar, mbona Magufuli haingilii kati?
This is pathetic, I now believe all Tanzanian need to be rechecked if their mind works reasonablelyCCM imeenda tena mahakamani kuomba mahakama iruhusu wajumbe wake waruhusiwe kupiga kura ya kumchagua Meya wa Jiji.Wajumbe hao ni wale waliopigwa marufuku na msimamizi wa uchaguzi
1. UDA itawekwa waziKuna tatizo gani umeya wa Dar es salaam ukienda Ukawa? Namba hazidanganyi ndugu zangu ukawa wako 87 ccm wako 76 sasa ccm mlisahau nini ofisi za umeya wa Dar es salaam?