Umewekeza nini katika Mapenzi na unatarajia nini?

Umewekeza nini katika Mapenzi na unatarajia nini?

Aisee.nipe shule hapa
Kuanzia kumtongoza mpk kumlala na mahusiano kiujumla,
Mwanaume ndo unapasuka Sana kiuchumi, yeye anapanua TU mapaja na kukupa invoice ulipie bills

Akikuhurumia Sana,
Atakununulia boksa na vest afu kesho yake atakupiga kizinga Cha laki 5 akalipie Deni la hizo boksa na vest alizokuletea[emoji1787]
 
Hello.

Maisha ni uwekezaji, Turudi kwa mapenzi,umewekeza kitu gani kwenye mapenzi ambacho unadhani kinaweza kukuletea faida.

Maana uwekezaji unaenda mojamoja na matokeo chanya na hasi.
Nimewekeza ubooo na muda wa kuikula mbususu
 
Mnavyojifanya kuruka uzi kama hamjauelewa.

Basi sawa kuwekeza ni lazima lazima uwekeze kwenye mapenzi tofauti na hapo hakuna mapenzi.

Utawekeza pesa yako na akili yako
 
Mapenzi n shida sana yan kilichoulizwa na kinachojibiwa n tofauti [emoji16]waja mna mambo
 
Back
Top Bottom